Ask Me Any Question C/C++, Java, Python, PHP & Yii, JavaScript & JQuery

Sijui kama nimekupata
Umenikosa totally!
Kutoka post yako kuna stage umeruka. Saving Data is nothing peculiar. Whether its XML or SQL.
Hizi zingine umeongeza mbwembwe, hope sio complains
 
Unaanza kujifunza tayari umerukia katika Swing/Database? Wrong way!
Jifunze kwanza misingi ya Java halafu advance slowly and finally go to UI. Nina wasiwasi hata hizo code za UI umetengeneza na RAD!

Jifunze uielewe Java kwanza kabla ya kufanya project. Lerning by doing is good only if you learn first and do it next!

C++ tunaiandikia wapi?
 
Kwenye Kihariri aka Editor

Nataka kuanza kujifunza mobile app development but nataka language moja ambayo itanifanya niweze kufanya development ya app za platform zote hasa iOS na Android.

Nina knowledge ya Java, Object oriented PHP, MySQL na C++ kidogo.

I need to develop app ambazo zina interact na database Hasa MySQL. Nipe muongozo naanzaje
 
No way! IOS inategemea ObjectiveC while Android inategemea Java kama native language. Hapo the best way ni kujua Java na ObjC kisha kutengeneza library ya operations zako common in C. Unaweza itumia lib hiyo ktk IOS au ktk Android (NDK)/JNI

Nina knowledge ya Java, Object oriented PHP, MySQL na C++ kidogo.
See above!

I need to develop app ambazo zina interact na database Hasa MySQL. Nipe muongozo naanzaje
You will need to know how to make API to Be middle man.
Check our trainings in case anything interests you
 
sasa Stephano mtango hizo code naziandikia wapi kwenye note pad au office?
Programmers Editor. Zipo nyingi sana. My Fav ni Geany. Ila kuna GEdit & Kate (Linux only), Notepad++ (Windows only), Sublime Editor, JEdit, et al!
sikuiona hii ulitumia Stephano badala ya Stefano 🙂
 
Nataka kuanza kujifunza mobile app development but nataka language moja ambayo itanifanya niweze kufanya development ya app za platform zote hasa iOS na Android.

Nina knowledge ya Java, Object oriented PHP, MySQL na C++ kidogo.

I need to develop app ambazo zina interact na database Hasa MySQL. Nipe muongozo naanzaje

Kuna Xamarin (Mobile App Development & App Creation Software - Xamarin) ambayo inakuruhusu kufanya native cross platform development ya Android, iOS (iPhone), Mac na Windows. Inatumia C# ya Microsoft ila bahati mbaya beyond the basics inabidi uilipie tena kwa mwezi.
 
Thanks mkuu

Vipi kuhusu support? Is it popular na ina forums ambazo nikikwama naweza kupata msaada? Na learning materials zipo za kutosha online?
 
Mimi ni beginner kabisaaaa, nineanza kujifunza programming language naona saiv kidogo napata mwanga kuna tutorial nimeichukua toka youtube inaniongoza vyema.

Nimeanza na language ya javascript, nachomba mkuu/wakuu msaada wa kujua ji kitabu gani hasa kitanisaidia kama beginner kuweza ku master hii language vzuri, ili baadae niamie html na css.

Kwa sasa natumia tutorial za youtube, google na material ya w3 school.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C++ ningekushauri utumie Maliki(nina softcopy yake) ila hizo java ngoja wataalamu waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom