Asitisha huduma ya usafiri baada ya kushindwa ubunge

Hiyo ndio shida ya kushindwa kuweka mifumo. ....mfalme akifa na ufalme unafutika

Kama ilivyo kwa wajita na wanyamwanga...wanapenda sana kulelewa ndiyo sababu ya kumrudisha Mathayo pale Musoma. Wanaoenda sana zile nibembeleze nibebe...
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni,Bukoba Mbunge aliyebwagwa na nguvu ya Umma Hamis Kagasheki amenyang'anya ambulance aliyokuwa amekabidhi katika Hospitali ya Mkoa na kisha akang'oa dish na TV kubwa aliyokuwa ameweka katika Uwanja wa Mayunga kwa ajili ya wananchi kutazama taarifa za Habari na Vipindi Muhimu.Aidha ameng'oa mitego ya radi (Vifaa vinavyozuia madhara ya radi) iliyokuwa imefungwa maeneo ya Miinuko.Pia kwa hasira kuu amewanyang'anya vijana woote aliokuwa amewapa mikopo ya bodaboda baada ya kushindwa kwa kishindo kikuu na mpinzani wake wa muda mrefu Ndugu Lwakatare...
 
Nadhani haukuahidi atatoa huduma hiyo ispokua akiwa mbunge. Kwakua sasa si mbunge Hana kosa.
 
Kaka sioni kosa hapo. Aliitoa ahadi hio 2010 na alipoupata ubunge Murji aliwapatia usafiri wa bure vijana kuanzia 2011 mpaka October 25, 2015 alipoangushwa. Sasa yeye sio mbunge tena ahadi gani atimize? Wakitaka usafiri kuanzia sasa sio wamuombe huyo mbunge wao mpya?
Hio ndio faida ya kupiga kura kwa ushabiki.
Baniani mbaya kiatu chake dawa? Sasa waitafute dawa kutoka kwa huyo mbunge mpya!
je ahadi kama hizi na zile za kudai nitasomesha watoto kumi ambazo hazina tija na ambazo zinategemea utashi wa mtu binafsi unazichukuliaje ? Tumeleta hapa ili tujadili na ikiwezekana tukomeshe ahadi za udhalilishaji kama hizi .
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni,Bukoba Mbunge aliyebwagwa na nguvu ya Umma Hamis Kagasheki amenyang'anya ambulance aliyokuwa amekabidhi katika Hospitali ya Mkoa na kisha akang'oa dish na TV kubwa aliyokuwa ameweka katika Uwanja wa Mayunga kwa ajili ya wananchi kutazama taarifa za Habari na Vipindi Muhimu.Aidha ameng'oa mitego ya radi (Vifaa vinavyozuia madhara ya radi) iliyokuwa imefungwa maeneo ya Miinuko.Pia kwa hasira kuu amewanyang'anya vijana woote aliokuwa amewapa mikopo ya bodaboda baada ya kushindwa kwa kishindo kikuu na mpinzani wake wa muda mrefu Ndugu Lwakatare...
Hii ni aibu sana ! Vipi ana mpango wa kuhama bukoba ? Maana kwa tafsiri ya kawaida huo ni unyama .
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni,Bukoba Mbunge aliyebwagwa na nguvu ya Umma Hamis Kagasheki amenyang'anya ambulance aliyokuwa amekabidhi katika Hospitali ya Mkoa na kisha akang'oa dish na TV kubwa aliyokuwa ameweka katika Uwanja wa Mayunga kwa ajili ya wananchi kutazama taarifa za Habari na Vipindi Muhimu.Aidha ameng'oa mitego ya radi (Vifaa vinavyozuia madhara ya radi) iliyokuwa imefungwa maeneo ya Miinuko.Pia kwa hasira kuu amewanyang'anya vijana woote aliokuwa amewapa mikopo ya bodaboda baada ya kushindwa kwa kishindo kikuu na mpinzani wake wa muda mrefu Ndugu Lwakatare...

Muda mwingine tunashindwa kujua mahitaji ya watu hasa ni nini? watu hawana chakula unajenga barabara, watu wanakamatwa na mgambo wa jiji hovyo na kumwagiwa uji wewe unawapelekea ambulance, wala kwa kura wajifunze kujua mahitaji ya watu.

Pia watu wanaweza kumchoka tu mtu, mfano naamini angeenda kugombea biharamulo angeshinda kwa kishindo kwani angekuwa sura mpya.
 
Hakuna haja ya kuumiza kichwa, si awasafirishe huyo waliyemchagua! Na hii ndo dawa ya mibongo

Kwani mkataba wa awali wa kuwasafirisha hao wanafunzi uliingiwa na nani kwa makubaliano yapi?
 
Hapo hakuna mkataba bali ni msaada tu wa mbunge kwa wananchi wake anaowaongoza, kama bado wanahitaji msaada kama huo kwa mbunge basi wamueleze mbunge make lile jimbo bado lina mbunge
 
Kaka sioni kosa hapo. Aliitoa ahadi hio 2010 na alipoupata ubunge Murji aliwapatia usafiri wa bure vijana kuanzia 2011 mpaka October 25, 2015 alipoangushwa. Sasa yeye sio mbunge tena ahadi gani atimize? Wakitaka usafiri kuanzia sasa sio wamuombe huyo mbunge wao mpya?
Hio ndio faida ya kupiga kura kwa ushabiki.
Baniani mbaya kiatu chake dawa? Sasa waitafute dawa kutoka kwa huyo mbunge mpya!

Mkuu tatizo sio huyo mbunge Murji, tatizo ni chama alichokuwepo CCM . Sisi wana mtwara tulimwambia kama unautaka ubunge tena basi hama chama cha CCM aje upinzani akakataa, SABABU KUBWA YA JIMBO LA MTWARA MJINI KWENDA UPINZANI NI LILE SAKATA LA GESI
 
Namshauri highness kiwia akachukue ile ambulance yake kule kayenze, ile ambulance aliinunua ndani ya miezi mitatu tu ya ubunge wake kwa kutumia pesa ya mkopo wa gari la mbunge baada ya kuona aza kubwa wanayoipata wananchi hasa wamama wakati akifanya kampeni maeneo yale, hivi sasa wamempiga chini kwa kigezo cha ukabila eti kisa tu yule mama mabula wa ccm ni msukuma mwenzatu wakati hata sio msukuma kweli bali mmewe ndo msukuma na hilo jina la mabula ni la mmewe, highness tafadhali kachukue lile gari
 
Kwani si ni hela yake??
Nyie mnalizwa na nini??
Kama vp na nyie wasafirisheni hao wanafunzi!!
 
ile ambulance ilikuwa mbovu, sasa unatoa msaada wa pajero kuku, ipo imepaki juu ya mawe mwambieni aje na breakdown ya khimji aikokote.
 
Mkuu tatizo sio huyo mbunge Murji, tatizo ni chama alichokuwepo CCM . Sisi wana mtwara tulimwambia kama unautaka ubunge tena basi hama chama cha CCM aje upinzani akakataa, SABABU KUBWA YA JIMBO LA MTWARA MJINI KWENDA UPINZANI NI LILE SAKATA LA GESI

Tatizo la wapiga kura kugeuzwa nyumba ndogo.
 
Kama ilivyo kwa wajita na wanyamwanga...wanapenda sana kulelewa ndiyo sababu ya kumrudisha Mathayo pale Musoma. Wanaoenda sana zile nibembeleze nibebe...

Mkuu jimbo la Musoma mjini linahistoria yake tofauti na majimbo mengine.Kule ukiahidi kitu jambo muda wa kampeni husipolitimiza unaondolewa.Tangu mfumo wa vyama vingi hakuna mbunge.aliyechaguliwa.kwa vipindi viwili mfululizo.
 
Mkuu tatizo sio huyo mbunge Murji, tatizo ni chama alichokuwepo CCM . Sisi wana mtwara tulimwambia kama unautaka ubunge tena basi hama chama cha CCM aje upinzani akakataa, SABABU KUBWA YA JIMBO LA MTWARA MJINI KWENDA UPINZANI NI LILE SAKATA LA GESI
Hongera sana mtwara .
 
Kwani si ni hela yake??
Nyie mnalizwa na nini??
Kama vp na nyie wasafirisheni hao wanafunzi!!
ndio maana kapigwa chini ili wananchi wenyewe waweze kutafakari namna ya kuhakikisha watoto wao wanasafiri kwa uhakika na tena bila kujali aliyeshinda ubunge , hii ya kutegemea kudra za individuals zitatutia presha , maana mtoa msaada akiugua tu hata mafua jimbo lote tumbo joto ! Aaah ! Hata wakoloni hawakufanya haya bhana .
 
Hapo hakuna mkataba bali ni msaada tu wa mbunge kwa wananchi wake anaowaongoza, kama bado wanahitaji msaada kama huo kwa mbunge basi wamueleze mbunge make lile jimbo bado lina mbunge

Basi mbunge mpya ana haki ya kukataa kutoa huo msaada.
 
Back
Top Bottom