Asitisha huduma ya usafiri baada ya kushindwa ubunge

Kagasheki (Bukoba mjini) yeye aliamua kulichukua gali alilotoa kwa ajili ya wagonjwa (mburance) 2010. mara baada ya kuangushwa 2015 na rwakatale (cdm) haraka akalichukua na kufuta ile arama ya red cross na kuligeuza kuwa bodaboda:

Ni ombi tu: ukiamua kutoa, toa kwa moyo wote na kwa upendo kisha sahau; maisha yanaendelea; chaguzi ndo tu kwanza zimeanza, je ukigombea tena na kuwaomba kura haohao ulowanyang'anya watakupa kura tena? ni bora ukiwaachia kwa ajili faida yako in future hata ikitokea ukagombea tena utakuwa na kitu cha kuwakumbusha na wakakumbuka kisha kukurejesha tena bungeni
 
Alipoulizwa amekiri kuchukua hatua hiyo na kudai kwamba alitoa usafiri wa bure kwa vile alikuwa mbunge wao , lakini kwa sasa amebakia MFANYABIASHARA WA KAWAIDA .

Nampongeza sana Mr Murji HIVI INAWEZEKANAJE ULE VYANGU WAKATI MIMI MWENYEWE HUNITAKI??????? HAKUNA NAMNA AONDOKE NA MALI ZAKE SI WAMEMUONA HAFAI? BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
 
Nampongeza sana Mr Murji HIVI INAWEZEKANAJE ULE VYANGU WAKATI MIMI MWENYEWE HUNITAKI??????? HAKUNA NAMNA AONDOKE NA MALI ZAKE SI WAMEMUONA HAFAI? BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Ndio maana tunawatahadharisha wananchi kuepuka ahadi za uzushi kama hizi .
 
Back
Top Bottom