Asilimia kubwa ya maeneo mengi Dar es Salaam yananuka

Jiji kubwa kama dar halipaswi kunukanuka harufu za uvundo wa uchafu wa aina yeyote. Ni marufuku vyoo vya mashimo. Mifereji na chemba zifanyiwe usafi kila mara.
 
Bonjour

Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa Kwa ma dampo kila mtaa, hii inapelekea harufu mbaya Kwa wakazi wa maeneo hayo.

Yani imekuwa kero sana , mfano hapa kkoo Kuna chemba zinatema kila siku, Kuna mimaji ya chooni hapa karibu na kituo Cha gerezani, Aisee ni harufu tu , haya maji ni kinyesi kitupu, ukiingia hiyo mitaa Mingine Sasa, ni harafu tu

Embu siku tembelea mitaa kama vingunguti, ilala, magomeni, kigogo, mburahati,mwananyamara, aisee kama unakinyaa huwezi kurudi..

Sijui wahusika na maswala ya usafi wa jiji Wana mipango gani, jiji ni chafu sana .

Nasikia mpka hasira, anyway ngoja nihamie pembezoni mwamji
Kwani ulisahau kuziba pua kama the late Michael Jackson????
Ukipanga kutembelea tena maeneo hayo ziba pua.......kwishneiiiiiii
 
Ni kweli kwa sababu wananchi wake wenyewe ni wachafu....hapa Dar kupishana na mtu anayenuka mavi au jasho kama hajaoga mwaka mzima ni kawaida sana. Usishangae demu anakuja kwako kuliwa, anavua nguo anatoa shombo kali kuliko soko feri. Inashangaza mno, joto lote hili hapa Dar, mwanamke anavaa jeans inayombana hana nafasi ya kupumua mwili, akikuvulia tu nguo lazima utafungua dirisha ili harufu ya Feri itoke chumbani mwako.
🤮🤮
 
Back
Top Bottom