Watu wa singe wailinde hii comment yako 24/7Kijana mwenzangu ukipata nafasi ya kumuumiza mwanamke kihisia please fanya kweli
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hii inaweza kukubaliana nayo, of course wanawake bhana wana mioyo meupe na wako na true love kabisa sema sasa wakakutana na wanaume wasio na malengo nao ndipo sasa anapoanza kuaribikiwa kiisakolojia.Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda,
Wanawake asilimia kubwa wanamapenzi ya kweni na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume, wanaume wengi hujifunza kupenda ila mwanamke by birth wako kiupendo.
Shida inakuja wanapikutana na watoto wa pharaoh, wakatendwa kisha ukikutana nae, kila unachofanya anaona wewe ni msanii kama yule yule.
Kama mwanaume unakutana na wadada waliopitia miasukosuko tu, unaweza dhani wanawake wote wanako hivyo au hakuna mapenzi ya kweli
mwanamke yeyote aliyeajiriwa boss wake akimtaka hanyimwi, hili naomba niamini ninachokisema.We inaonesha ni mpya kabisa kwenye tasnia ya mahusiano. Mosi hakuna mwanamke anampenda mwanaume. Kinachopendwa ni pesa.
Pili hakuna mwanamke anaweza kuvuka kishawishi cha pesa. Tatu mwanamke yeyote aliyeajiriwa boss wake akimtaka hanyimwi, hili naomba niamini ninachokisema.
Unaroho mbaya weweKijana mwenzangu ukipata nafasi ya kumuumiza mwanamke kihisia please fanya kweli
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
usiyatie moyoni😂Unaroho mbaya wewe