Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 914
Kila penye watu 10 kuna HIV positive 7
Acha uongo basi...Uongo bhana. Mbona mimi situmii![]()
Nina wasiwasi na elimu yako na kama una utu.yuko
Sahihi sema tu gazeti halikueleza hao watanzania asilimia 67 wanaotumia ARV Ni WA chama gani wamesahau kuandika wanachama wa Chadema. Pasomeke hivi Asilimia 67 ya watanzania ambao ni wanachama wa chadema wanatumia ARV. Muombe moderator akubadilishie heading. It a minor correction. Atakubali tu
Ni ujinga wa kutafuta kikiGatezi la Tanzania Daima linata Tanzania ipotee kabisa kwa hiyo kwao kila kukicha ni kuandika negative stories. 67% ya watanzania ni karibu watu milioni 30. Hivi Neville Meena na wahariri wenzake wanafikiria nini?
Ila walivyoandika Ndo wamekosea huwezi andika ivo . Hata Kama ni Biashara sometimes inatakiwa uwe makiniHujasoma habari, 67% ya walioathirika ndo wanatumia dawa
Ningeshangaa takwimu za uhakika ni kuwa watanzania wanachadema asilimia 67 wanatumia ARV. Kukuhakikishia anza kupima wabunge wote chadema ni asilimia ngapi wana ukimwi na wanatumia ARV halafu nenda Viongozi wote wa chadema kuanzia ngazi ya chini hadi taifa uone ukimwi ulivyo tatizo kubwa Na uone idadi ya watumia ARV halafu nenda kwa wafanya wafanyakazi wa serikali na taasisi zake uone wanachadema wangapi wana ukimwi na wanaishi kwa kula ARV ni hatari. Halafu malizia kwa wafanyabiashara na wanywa viroba na wasio na kazi uone rate Ya ukimwi na ulaji ARV utashangaa. Chadema wanatakiwa kuanzisha kurugenzi maalumu ya kupambana na maambukizi ya ukimwi Ndani Ya chama chao yako juu mno tena sanaAmeclarify kwamba ni asilimia 67 ya waliothirika sio ya watanzania wote.
Kifupi nikujibu hivi mtu akipata mume au hawara au mchepuko ambaye ni chadema ahakikishe wanaenda kupima barabara kabla hajajiachia peku peku. Ndio ushauri wangu you can take it or leave it. Ushauri haulazimishwi kuuzingatia.Maambukizi ya ukimwi chadema yako juu mnoIla walivyoandika Ndo wamekosea huwezi andika ivo . Hata Kama ni Biashara sometimes inatakiwa uwe makini
OK kaogopa kutuhumu kivyama ila Hiyo asilimia 67 ni Ya wanachama wa chadema. Kama waziri asingeweza ongea hiloAmeclarify kwamba ni asilimia 67 ya waliothirika sio ya watanzania wote.
Huwezi kutenganaisha Tanzania Daima na MboweUna hoja nzuri lakini unaichafua kwa kuirushia tope la siasa!
Kweli kabisa huwezi kutenganisha maslahi ya mauzo ya Gazeti hilo na Mbowe, lakini kutengenisha shughuli za kila siku za Tanzania Daima na Mbowe inawezekana!!Huwezi kutenganaisha Tanzania Daima na Mbowe
Cd4 imeshuka nini? Natania tu mkuundu gu yanguView attachment 614553 View attachment 614512
Hili ni lile gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama ambaye elimu yake haieleweki vizuri.
Limekuja na habari hii ya kwamba watanzania asilimia 67 wanatumia ARV.
Wakijidai kumquote waziri wa afya.
Sijui hapo ni yupi elimu yake haieleweki.Hujasoma habari, 67% ya walioathirika ndo wanatumia dawa
Hiyo ndo nature ya vijana wanaoeendeshwa kwa mihemko, komrediSijui hapo ni yupi elimu yake haieleweki.
Mtu kakurupuka na kichwa cha habari bila kusoma habari kamili
Lakini tutafika tu
Asante kwa kuliona hilo GT
yuko
Sahihi sema tu gazeti halikueleza hao watanzania asilimia 67 wanaotumia ARV Ni WA chama gani wamesahau kuandika wanachama wa Chadema. Pasomeke hivi Asilimia 67 ya watanzania ambao ni wanachama wa chadema wanatumia ARV. Muombe moderator akubadilishie heading. It a minor correction. Atakubali tu
unakimavi mtakon kachambeeyan kwenye kila wanne karibia watatu wanao sio mmoja kutokana na hio 67%Oya unaleta za wapi hizo? Asilimia 67 sio mchezo ujue, yaani katika watu wanne mmoja anao? Acha zako