Asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARVs

Asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARVs

View attachment 614512 Hili ni lile gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama ambaye elimu yake haieleweki vizuri.

Limekuja na habari hii ya kwamba watanzania asilimia 67 wanatumia ARV.

Wakijidai kumquote waziri wa afya.
Itakua wanamsema yule mzee wa kumpiga mgombea mwenzake na rungu,marukaka yamemshika mpka anaropoka tu
 
yuko
Sahihi sema tu gazeti halikueleza hao watanzania asilimia 67 wanaotumia ARV Ni WA chama gani wamesahau kuandika wanachama wa Chadema. Pasomeke hivi Asilimia 67 ya watanzania ambao ni wanachama wa chadema wanatumia ARV. Muombe moderator akubadilishie heading. It a minor correction. Atakubali tu
Yule mzee wa kupiga mtu rungu cd4 kushnei zimepanda hadi utosini
 
Una hoja nzuri lakini unaichafua kwa kuirushia tope la siasa!
Waliandika haya kwa sababu ya siasa zao!
Watakuwa wamefanya makusudi na baadaye kuomba radhi.

Nilishawahi kuleta thread juu ya mwenendo wa gazeti hili
 
yuko
Sahihi sema tu gazeti halikueleza hao watanzania asilimia 67 wanaotumia ARV Ni WA chama gani wamesahau kuandika wanachama wa Chadema. Pasomeke hivi Asilimia 67 ya watanzania ambao ni wanachama wa chadema wanatumia ARV. Muombe moderator akubadilishie heading. It a minor correction. Atakubali tu
Unaendelea kuthotisha hoja yangu kwamba thread au post yoyote anayosapoti YEHODAYA lazima iwe ya kipuuzi. Taratibu kila mtu atakufahamu kiwango cha uelewa wako.
 
Waliandika haya kwa sababu ya siasa zao!
Watakuwa wamefanya makusudi na baadaye kuomba radhi.

Nilishawahi kuleta thread juu ya mwenendo wa gazeti hili
Tatizo umeleta habari nusu nusu, weka habari yote tuione!
 
Duh afadhali umeclarify!! Sijui kwanini mtu analeta uzi wa uwongo kiasi hiki.
Uongo umesemwa na Tanzania Daiima sio mimi ...mimi nimeshare tu.

Labda uniambie hilo gazeti la Tanzania Daima halina hiyo habari
 
Uongo umesemwa na Tanzania Daiima sio mimi ...mimi nimeshare tu.

Labda uniambie hilo gazeti la Tanzania Daima halina hiyo habari
Ameclarify kwamba ni asilimia 67 ya waliothirika sio ya watanzania wote.
 
Pasomeke hivi Asilimia 67 ya watanzania ambao ni wanachama wa chadema wanatumia ARV.
Kwa nini unaona kama vile kutumia ARV ni jambo la kunyanyapaliwa? Hizo ARV kwa sehemu kubwa zinatokana na misaada na mikopo ambayo serikali inaingia ili kuokoa maisha ya watu wake.

Hata hivyo ni kosa la kiuandishi na wala si kosa la jinai, Badala ya kuandika "ni watanzania asilimia sitini na saba tu wanaoishi na virusi vya UKIMWI ndiyo wanatumia ARV" badala yake inaonekana imeandikwa "asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARV" kwa waliowahi kufanya kazi kwenye uchapaji na uchapishaji wa magazeti watajua wakati mwingine kinachochapishwa sicho kilichokusudiwa.

Pia jua Tanzania hakuna chama kinachoitwa "chadema".
 
Back
Top Bottom