funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,535
- 31,199
Mimi nimeweka facts tupu!Aliyeanzisha uchama ni mleta mada.
Kwani mmiliki wa gazeti ni nani?
Kwani elimu ya Mbowe ikoje?
Je blunders za mara kwa mara hazifanyiki na gazeti hili?
Mimi nimeweka facts tupu!Aliyeanzisha uchama ni mleta mada.
Haiwezekani mkuu Allen Kilewella,gazeti lina akisi mawazo ya mmiliki na ndio maana huwezi kukuta imeandikwa habari nzuri ya serikaliKweli kabisa huwezi kutenganisha maslahi ya mauzo ya Gazeti hilo na Mbowe, lakini kutengenisha shughuli za kila siku za Tanzania Daima na Mbowe inawezekana!!
Wanafanyaje?Asilimia 67 ya watanzania wenye maambukizi ya UKIMWI

Hivi umesoma ulichoandika?Hesabu gani unapiga wewe?.67% maana yake katika watu 67 katika watu 100
Inawezekana lakini mmiliki si mhariri na ndiyo maana aliyeomba radhi ni mahariri wa Gazeti na siyo mmiliki wake!Haiwezekani mkuu Allen Kilewella,gazeti lina akisi mawazo ya mmiliki na ndio maana huwezi kukuta imeandikwa habari nzuri ya serikali
baada ya Mbowe kumlazimsiha,Gazeti likifungiwa Mbowe huwa halipi mishahara,na ukiwa mbishi anakutimua kama alivyotimuliwa MeenaInawezekana lakini mmiliki si mhariri na ndiyo maana aliyeomba radhi ni mahariri wa Gazeti na siyo mmiliki wake!
Hiyo sentensi nimeiweka kwa usahihi kabisa, sema wewe ndio huelewi mantiki ya threadWanafanyaje?
Malizia kauli, unaongea kiswahili kama kingereza?
Tatizo Jose kweli nimeamin unakimbilia kuwa wa kwanza,lakin kichwana empty ,huna la kusema kabisa,
Ain't panic huh!![]()
Nimerekebisha kiongozi.Nilimaanisha 67% ni sawa na watu 67 katika watu 100Hivi umesoma ulichoandika?
Katika katika nn sasa?
Oya unaleta za wapi hizo? Asilimia 67 sio mchezo ujue, yaani katika watu wanne mmoja anao? Acha zako
wewe umejuaje?baada ya Mbowe kumlazimsiha