RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,884
- 129,910
Hesabu ni janga! Mmoja kati ya wanne ni 25%. 67% ni wawili kati ya watatu.....Oya unaleta za wapi hizo? Asilimia 67 sio mchezo ujue, yaani katika watu wanne mmoja anao? Acha zako
Hesabu ni janga! Mmoja kati ya wanne ni 25%. 67% ni wawili kati ya watatu.....Oya unaleta za wapi hizo? Asilimia 67 sio mchezo ujue, yaani katika watu wanne mmoja anao? Acha zako
Wako frustrated na huu utawala mgumu wa CCM.Hawa waandishi wanaweka vichwa vya habari vya kuuzia gazeti
Ni 67 % ya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI ndiyo wanatumia dawa.Hizi takwimu sio za kweli kabisa, ujue 67% ni zaidi ya nusu ya raia wa Tanzania, kwa hiyo unataka kusema Tanzania ni Sodoma na Gomorah hatujafikia huko bhana ungesema 6.7% labda kidogo ningekuelewa, maana hata mimi niko miongoni mwa 67% mbona situmii ARV
Hahaha poa aseehWako frustrated na huu utawala mgumu wa CCM.
wenye maambukizi ya virusi vya UKIMWIAsilimia 67 ya watanzania wenye maambukizi ya UKIMWI
Magazeti kama haya hayafai hata kuchungulia. HIV prevalence rate sasa ni 5.8 percentMwandishi wa habari hii hakutaka hata kutumia akili ya darasa la saba.
Prevalence ya ukimwi inatakiwa akokotoe kutoka watu 1.4 million aloyoandika wana maambukizi ya ukimwi.
Labda kama hiyo 67% ni idadi ya waathirika wanaotumia ARV.
Tumuombe Dr Abas atoe press kumuomba mwandishi akanushe uzushi wake la sivyo achukulie hatua kuandika habari ya uongo.
Hakuna nchi duniani wanaoumwa ukimwi wakafika 67% na haitatokea.
Yap yapwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI
oh ok kwa hiyo 33% hawataki kutumia au wameamua wasitumiiNi 67 % ya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI ndiyo wanatumia dawa.
Swali gumu mkuu, wengine wanaogopa unyanyapaa na wengine hawapendi kutumia.oh ok kwa hiyo 33% hawataki kutumia au wameamua wasitumii
Hali sio nzuri lkn sio kwa asilimia hizo,Hali sio nzuri kwa kweli.
Upotoshaji wa kiwango cha juu.yaani ilivyo kaa hapa inavuta kununua gazeti hili sana.sijui mhariri alikuwa ameshalala
Asilimia za kupikwa , ziskunyime rahaHali sio nzuri lkn sio kwa asilimia hizo,