Mwalimu wako wa hesabu atakua na majonzi sana, kama asilimia 67 ya 4 ni moja . 67% ya nne ni zaidi ya wawiliOya unaleta za wapi hizo? Asilimia 67 sio mchezo ujue, yaani katika watu wanne mmoja anao? Acha zako
Jose west[emoji3]Hiyo sentensi nimeiweka kwa usahihi kabisa, sema wewe ndio huelewi mantiki ya thread
Okay unataka kuelewa?? haya ASILIMIA 67 YA WATANZANIA WENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI WANATUMIA ARVs.
=======NIMEMALIZA======
[emoji15][emoji15] aseehJose west[emoji3]
FACTMwandishi wa habari hii hakutaka hata kutumia akili ya darasa la saba.
Prevalence ya ukimwi inatakiwa akokotoe kutoka watu 1.4 million aloyoandika wana maambukizi ya ukimwi.
Labda kama hiyo 67% ni idadi ya waathirika wanaotumia ARV.
Tumuombe Dr Abas atoe press kumuomba mwandishi akanushe uzushi wake la sivyo achukulie hatua kuandika habari ya uongo.
Hakuna nchi duniani wanaoumwa ukimwi wakafika 67% na haitatokea.