unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,869
Mi nauliza tu. Sasa Bwana Zitto. Kama Mtoto katekwa. Labda baba uliwahi kula mke wa Mtu. Sasa mme kasema akukomoe. Sasa kutaka kumkomboa Mtoto wako kuna tatizo. Siasa gani Zitto unaendesha. Na umepewa Hela na Nani. Kwa faida ya Nani na kwa malipo gani ya Baadaye.