Asili ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba

Usiseme dodoma tu omba omba,,sema hivi waafrika wengi wao ni omba omba hususani hapa bongo.

Na mbaya zaidi, ukizoeana na m-mbantu siku moja tu, na akaomba namba yako basi tegemea hiyo siku au inayofua kupigiwa simu au meseji ya "omba omba" hawachelewi kukupiga bomu la money mzee,,,ndio maana cna mazoea sana na wabantu.
 
Nimeona wachangiaji wengi wamejikita na michango hasi tu mara genetics mara dhambi upuuzi tu,

Nchi ya Wagogo ilipigwa na ukame mkubwa mwaka 1917-1920

Wenyeji waliuita ukame huo "Mtunya" yani "Scramble" ikimbukwe ukame huu ulitokea baada tu ya kumalizika kwa vita ya kwanza ya dunia 1914-1918

Tuende kwenye athari ambazo vita ya kwanza ya dunia ililetea afrika.

Over exploitation of afrika resources to rescue Europe economy after the war

Baada ya vita kumalizika kulitokea upungufu mkubwa chakula hivyo wakoloni walichukua kila kilichowafaa na kupelekwa kwao (mazao, mifugo etc) na hiyo haikutokea ugogoni tu bali tanganyika na hata afrika nzima

Turudi kwenye Ukame mkali "mtunya" ambao uliu wagogo 150k ambayo ilikuwa ni karibu asilimia 90% ya population yote ya wagogo, ikumbukwe kipindi wagogo wanapigwa na ukame na njaa kali serekal8 ya wakoloni inaendelea kupunguza mifugo yao na kuwazuia wagogo kuendelea kuendea kuzalisha chakula kwa kuchukua nguvu kazi kama Labour kwenye plantation zao

Walichofanyiwa wagogo na ukoloni kilipaswa kuitwa genocide kama ilivyokuwa kwa Wanama na Waheroro wa Namibian

Kupoteza asilimia 90% ya population yenu kwa miaka minne sio kitu kidogo hata ikipita miaka mia mbili

**************

"The Gogo, in their own interpretation of the famine, stress the ways in which this famine made them dependent on the colonial economy. For them, this famine represented a terrible loss of autonomy, a loss of the ability to control the reproduction of their own society"
-John Iliffe, The Journal of African History
Hili hatari sana. Liwekwe sawa kwenye historia yetu. Lakini hili la Stanley lilitokea miaka 50 kabla ya hilo.
 
Back
Top Bottom