VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Aids ilitokea wapi...? baadhi ya theories zinazopatikana ni kama ifuatavyo:-
- Ilitokea kwenye African Monkeys
- Ilitokea kwenye Americans laboratory kwa bahati mbaya
- Ilitengenezwa kama biological weapon
- Au ilikuwepo tu tangia zamani lakini as the time goes on virus akapata nguvu na ku-mutate katika another strong form