Asili ya UKIMWI ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asili ya UKIMWI ni nini?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by VoiceOfReason, Aug 6, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Aids ilitokea wapi...? baadhi ya theories zinazopatikana ni kama ifuatavyo:-
  • Ilitokea kwenye African Monkeys
  • Ilitokea kwenye Americans laboratory kwa bahati mbaya
  • Ilitengenezwa kama biological weapon
  • Au ilikuwepo tu tangia zamani lakini as the time goes on virus akapata nguvu na ku-mutate katika another strong form
  Am all ears....
   
 2. S

  Somi JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  AIDS inasemekana ililetwa na daktari wa kimarekani mwenye asili ya poland katika kipindi ambacho dunia ilikuwa katika hatari ya ugonjwa wa polio na kulikuwa na kasi kubwa ya wataalamu katika kutafuta chanjo yake.

  Huyu mtaalamu mnamo miaka ya 50 na 60 alitengeneze chanjo ya polio kwa kutumia figo na damu ya kima wa congo drc bila kufuata taratibu za kiusalama za chanjo namna inavyotengenezwa na alipuuzia maonyo kutoka kwa wataalamu wenzake ili kasi ya ugunduzi wa chanjo iwe kubwa ili kunusuru watu na polio,pia alitaka kupata sifa kwake na nchi yake kwamba ndio wa kwanza kufanikiwa kupata chanjo ,hapo mwanzoni chanjo ilitengenezwa kwa kutumia kima wa bara la Asia.

  Majaribio ya hiyo chanjo yalifanyika kwa wananchi wa koloni la Belgium linaloitwa Congo Kinshasa adhari zikaja kutokea mwishoni mwa miaka ya 70 ingawa kujulikana rasmi kwenye vyombo vya habari ni mwanzoni mwa miaka ya 80 na eneo lililoadhirika zaidi mwanzoni ilikuwa ni katikati na mashariki ya congo DRC, mashariki ya Rwanda, Burundi na Uganda.

  Baadhi ya kima wa eneo la afrika ya kati ikijumuishwa na Congo DRC wana magonjwa hatari sana yasiyo na tiba kama aids,ebola nk
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Theory ya kuwa ... ilikuwepo tu tangia zamani lakini as the time goes on virus akapata nguvu na ku-mutate katika another strong form IPO
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hii nafikiri ni vigumu kuidhihirisha....au mkuu unasemaje?
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  This disease jamani.... badala ya kuanza fikiri the origin nimjibu VOR hapa...

  I am thinking where I stand in relation tho the disease.... Sad.

  VOR Will be bak thou....
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ukijaribu kusoma origin ya AIDS ni kwamba ilikuwepo-sema walikuwa hawajaigundua-b'coz miaka ya 50 kuna mwanajeshi,nazana(british/american)aliugua na kufa pasipo wao kujua exact ugonjwa aliokuwa nao-then miaka ya 80 wakaja relate na wagonjwa wa miaka ya 50 kama huyo niliemtaja hapo jinsi walivyokuwa wanaumwa-likapatikana jibu kuwa nao pia ilikuwa ni AIDS
   
 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... Asha you hit the point ... many people at the moment seem to be bored of the original and the cause ... They want Tiba ..and the How ..Tutaweza kutokuugua and all that ... The History seems to be always controversal ..ect ..but the researchers ahs to work even harder to know extly origin!!

  @ AD .. By the way.. You have MADE IT EVEN HARDER! ..You changed it hah hah!! .... I have been going all you r posts to see if you know how to respond to your oppents.. and HERE you give the answer and aderline lol ..you you .. ...wiil contact... you kill me with your Intellegence!!
   
 8. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni kweli na kuna mitazamo mingi na tofauti kwa mfano... ona hapa ... | HIV & AIDS - VirusMyth
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  katika theorieas za AIDS kuna moja imeeelzewa kitaalamu kwenye hii 1 hr documenatry  Nadhani ni kutokana na hii documenatry na maelezo ya hawa watalaam kuna kipindi thabo mbeki naye alipaza sauti kupinga kuwa HIV is not the cause of AIDS.

  Japo si mtaalamu wa afya chanzo kuwa nyani haingii akilini kabisa . To me nadhani AIDs ni man made virus in lab ambaye inawezekana accidentally alisababisha madhara ambayo hayakutegemewa. Baada ya madhara kuonekana ndio mzigo ukatupiwa nyani.

  Bila kusingizia nyani nadhani USA ingebidi ilipe fdia kubwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. E

  Edwiny Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nddhani AIDS ili tengenezwa labaratori as a biological defence so that Amerika could kill her enemies without involving in war.
   
 11. Desteo

  Desteo JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asili ya hicho kirusi ni Adam na Hawa
   
 12. S

  Somi JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
 13. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Wakuu mi ninadhani plausible explanation ni kwamba kama wanasayansi wengi wanakubali AIDS ilitokana na (SIV) ambayo ilikuwa/inapatikana kwenye nyani...

  Na jinsi ya transmission labda mtu aliumwa na nyani au wakati anamchinja nyani labda fluids za nyani zilimuingilia huyo mtu (wote tunajua watu wa Central Africa wanakula nyani)

  Baada ya hapo labda hiyo SIV ikabadilika mpaka HIV....

  Msishangae hapo labda ni nyingi sababu hii ni theory moja tu kati ya nyingine nyingi lakini hii inakubalika zaidi ya ile HIV ilitengenezwa ili kuwauwa watu wa aina fulani (gays n.k.) Hii kwa kweli mimi sikubaliani nayo kabisa
   
 16. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Humans can never create new life out of blue but can use life to generate life. Inthat respect HIV was there from time in memorial. This is what is seen and unseen, known and unknown from the Almighty GOD.
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu did I get you right meaning The Almighty Created AIDS...

  Mkuu kuna vitu vilikuwa havipo lakini muda unavyoenda vinamutate labda na kubadilika.., am sure AIDS was not there in the 1930s na kuna magonjwa yaliyokuwepo enzi hizo ila mwanadamu ameyashinda vita na kuyafanya extinct
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  ha ha ha.... I knew i had it coming from you....lol
   
 19. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  VOR

  Nafikiri hadi hapo tuko pamoja .... unless tupate udhibitisho mwingine kuwa ...sivyo!!
   
 20. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  ... Definetly!

  and am very interested on how you conquer your oppenett with Love ... you know what? if you give me the technic ..I' modify and use it ... as Medicine ... TO CONQUER ... Chronic illnesses!! ..Powerfull than Kikombe cha Babu. Isnt that a good achivement for our humanity? and the trade mark of the Dawa? [ADii..pamoja sanaa!!] Lol
   
Loading...