Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,234
Kwenye miaka ya 1994 nilikuwa nasikiliza mziki wa katitu kupitia redio,pia kwenye vilabu vya pombe za kienyeji nilisikia wakipiga sana miziki hiyo,pia kanda za katitu ziliuzika kweli,mitaa flani mjini na vijijini huko Arusha kwenye vilabu vya pombe za kienyeji mziki huu ulipigwa sana na watu walikuwa wanaushabikia sana,je huu mziki ulitokana na kabila flani
mana pia ukisikiliza utaona kama kuna maneno ya lugha za asili mbali na kiswahili,naomba kama kuna anayejua
chanzo cha mziki huu au kwa Tanzania tufananishe na Zilipendwa?
mana pia ukisikiliza utaona kama kuna maneno ya lugha za asili mbali na kiswahili,naomba kama kuna anayejua
chanzo cha mziki huu au kwa Tanzania tufananishe na Zilipendwa?