Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,187
Wakulungwa natumai hamjambo,
Waliosema mjaa asili haachi asili hawakukosea....
Umri unaenda ila Mahaba ndo donda ndugu tena, tumegandana kama nyama na ngozi eehehehehehee, ngozi hiyohiyo unayoijua wewe ona mnavyotabasamu aahahahhahaaa tusidanganyane banaa Mahaba matamuuu 😋😋😋.
Aliimba Ali Kiba, mapenzi yana run dunia.... haya wacha niache alfulelaulela niende kwenye kilichonileta hapa.
Kuna nyuzi kadhaa nimesoma zikiongelea maumbile ya mwanaume na wengine wakisema ya wanawake na wanaishia kwenye kutoridhishana kingono kutokana na maumbile hayo matokeo yake kulaumiana hawaridhiki au chanzo cha kuchepuka....
Aka vibamia na mashimo kwa wanawake.....
Enzi zetu kule Tabora vijijini tukifundwa na bibi zetu walituasa tukiwa tayari kuolewa tusitoke nje ya ukanda wa bara maana huko tutakutana na wanaume ambao tutaweza kuwahimili mizigo yao, asili ya wanaume wa bara ni mizigo mizito na wanawake wa bara ni kuhimili mizigo hiyo. Sana sana bibi mmoja akatuasa ikikubidi sana unaweza olewa na wanaume wa Kanda ya ziwa hao nao si haba ila zaidi ya hapo usijeukarudi hapa unalialia.
Walituambia hivyo wakituasa kuwa ndo maana wazee walisisitiza sana watu waoane ambao wanatoka maeneo ya jirani yaani wenyewe kwa wenyewe maana ndimi zao zinatoshana. Mfano, jamani nasisitiza mfano....
Wachaga au wamasai wanatoshana na wanawake wao, ukikuta mwanaume wa kichaga saizi yake inatoshana na mwanamke wa kichaga vivyo hivyo kwa makabila mengine au jamii nyingine.
Sababu za kutotafuta mwenzi wa maisha mbali na asili ya ulikotokea kwa enzi zetu zilikuwa nyingi ila hii ya kuhakikisha skruu inafiti kwenye nati ilikuwa mojawapo na kuu.
Sasa pata picha mtulinga wa kihaya ukaoe msambaa ambae kipokeo kifupi, ndo yale mambo ya kuvalishana ringi ili asimuumize mwenzie... wakati huohuo huyu mhaya anakuwa hard haridhiki maana haiingii yote, yaishia juujuu ili asiharibu maini ya mkewe....🤪 ya nini wakati Mungu alishaweka asili ya kutosheana kimaumbile kutokana na asili zetu...!!?
Vivyo hivyo, mdada wa kinyakyusa na mshepu huo ameumbwa tayari kuhimili mikiki ya ndizi mzuzu za kinyakyusa, akienda kuolewa na mwarabu anatafuta sononeko la maisha tuu na kujitakia kuchepuka baadae maana hafikiwi hadi mwisho wa kisima eeheheheee nacheka kama mazuri...😅😅😅.
Kiukweli enzi zetu tulikuwa wasikivu na ilipelekea mambo kuwa shwari mida ya wanga hakukuwa na lawama.
Japo si wote, mie nilikimbia kambi yakanikuta ya kunikuta nikawachana na mambo hayo nikabaki na Mahaba tuu, si haba 😉.
Tulia, mtafute wa saizi yako ndo muendelee kuridhishana.
Kuna huyu mubaba, ehehehehe acha tuu. Mwenyewe kwanza alidata, maana alipokuwa ananifata alinichukulia poa, alichokutana nacho hakuamini 😁😁. Yuko wee mwanamke hata nikisafiri wiki mbili naanza kukumbuka kurudi nyumbani, wasije wakanitafunia Kasinde wangu wahuni wa Dar ehehehehe...
Hiki ni kibwagizo tuu cha uzi, usichukulie sirias sana.
Enjoy na mpenzi wako mtafute mbwinu mbadala wa kuridhishana na mtulizane magonjwa mengi sikuhizi.
Dhamira Kuu: Mapenzi 😋😊🤌.
Bibi Mahaba,
Kasinde.