Asili ya majina Mikocheni, Masaki na Kariakoo

Asili ya majina Mikocheni, Masaki na Kariakoo

Aisee
Usinikumbushe hayo maeneo, nimecheza sana kwenye hayo majaruba ya chumvi na Musa Tatu Ntimizi, leo hii ni apartments, sijui mdingi alikuwa amelala, sema nilikuwa niko msingi akili haipo kabisa kumtonya mdingi....
Maeneo mengine makubwa zamani makubwa mfano huko goba nk watu zamani waliyapatkwa wakati ule wa nguvu kazi,watu wanapelekwa kusafisha maeneo na kuna wale wenye akili wakawa wanajiongeza
Wanachukua maeneo yao
Kuna wengine walikuwa wanaona mbali zamani ardhi na nyumba ilikuwa haina thamani sana
Zamani watu nyumba walikuwa wanapeana bure tu

Ova
 
Kivukoni sehemu ya kuvukia kwenda Kigamboni/peninsular ya upande wa pili, Stand ya mkoa ilikuwa Kisutu, eneo la miti yaani Msutu/Msitu
Mlimani city kuanzia UDSM paliitwa Mlimani kwani ndiyo eneo liliopo juu zaidi kwa Dar, kuna Mlimani Park pia eneo la Mwenge, ambao ni eneo la kukutana wafanya biashara na wasafiri
Mbezi Luis kuna mzungu Louis alikuwa na mashamba ya mananasi
Kwa Msuguri , jina la CDF wa zamani Gen Musuguri
Ubungo Maziwa kulikuwa na kiwanda cha maziwa ya paketi
Bakhressa pale Buguruni kiwanda cha mikate ya siha/NMC
Buguruni eneo la nyuma kule viwandani paliitwa Makuburi baadae watu wakahamishiwa Kigogo - sehemu ya kukusanyia magogo ya kuni
Mtoni limetokana na mto Kizinga/Mzinga unaanzia vilima vya Pugu
Mbagala na Tandika maeneo tambarare ya kulima
Vingunguti kwenye aina ya nyumba za kienyeji kama tembe, Gungu,
Madale eneo lenye mwinuko, kidale, vidale
Msimbazi - mfereji unaitwa simbazi

Maeneo ya Mzizima (DSM) kuanzia Fire, kuelekea Upanga l, Muhimbili mpaka kituo cha Polisi Selander, Mnazi Mmoja mpaka Posta Mpya (Mchafukoge) yalikuwa mashamba ya minazi na miembe yakimilikiwa na familia za Wazaramo kina Abdallah Mfaume, Mwinyiheri Akida, Mohamed Tambaza, Mwinyiwaziri Mwinyi, Kidato bt Mwinyi Abdallah, Mwinyishehe Mwinyikheri na Mmanga Mwinyimkuu. Serikali ya Mkoloni iliwaomba kujenga barabara, shule, hospital nk Wakapewa baadhi ya maeneo ya Magomeni, Temeke na Ilala ambapo walihamia na wengine wakabaki Kariakoo. Familia ya Tambaza bado inamiliki eneo la makaburi na Msikiti wa Tambaza
Zamani mwenge kabla ya itv pale tulikuwa panaitwa nyirenda, nyirenda mwenyewe alikuwa anakaa jirani naona sahv jina limekufa kabisa hapo

Ova
 
Zile nyumba sahv wanazo kaa polisi zamani sana enzi za nyerere alijenga mdosi mmj smbdy akbr
Ila alikula kona mambo uhujumu uchumi..
Aisee
Umenikumbusha, daah kweli wewe mzee wa town, yule mdosi alikuwa anaitwa Lord Rajpar
Alizikimbia zile nyumba, humo nilikaa wakati zile nyumba bado mpya, na kina Ntimizi, huyu Musa alikuwa mbunge tumecheza sana humo.

Hakuna aliejua haya maeneo yatakuwa dili baadae, yalikuwa mpaka karibia na kwa Nyerere ndio alikuwa rafiki zake hao wavuna chumvi, nasikia alikuwa anakunywa nao sana kahawa.
 
Mimi mzee pia yuko mikocheni kitambo sana
Hv wakina ntimz bado wanapahodhi pale ada face a.mwiny Road
Hv maza yupo yule 😄

Ova
 
Aisee
Umenikumbusha, daah kweli wewe mzee wa town, yule mdosi alikuwa anaitwa Lord Rajpar
Alizikimbia zile nyumba, humo nilikaa wakati zile nyumba bado mpya, na kina Ntimizi, huyu Musa alikuwa mbunge tumecheza sana humo.

Hakuna aliejua haya maeneo yatakuwa dili baadae, yalikuwa mpaka karibia na kwa Nyerere ndio alikuwa rafiki zake hao wavuna chumvi, nasikia alikuwa anakunywa nao sana kahawa.
Sinza yenyewe zamani ilikuwa pori
Longtime mdg nilikaa nkikumbuka njia vumbi mapori tu,eti sahv kumekucha
Sasa huko kuna mzee mmoja anaitwa mzee maembe yupo mpaka leo na namjuwa hao ndy makonki wa sinza
Mzee maembe yeye ndiyo alijitolea eneo lake kuwa makaburi ya sinzaaa

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom