Elections 2010 Asikudanganye mtu hali ni mbaya

kwa hakika hizo ndoto zenu zitageuka kuwa jinamizi!!!!
Shida kubwa ya watu ninyi ni kwamba hamtaki kuukubali ukweli kwamba mmeshindwa kazi mnang'ang'ania madaraka kwa mbinu chafu za kiimla.
Unaweza kunieleza kwa nini vasco aendelee kuaminiwa kuongoza? kwanza hamna sera kabisa zaidi ya kuongezea neno zaidi kwa kila sera zenu za 2005.
Kwa kuwa unajua definition ya UKOLONI basi elewa ndivyo ccm ilivyo sasa. kikundi cha watu fulani...... na ninyi ni puppets zake
 
Bahati nzuri wengine tuko online na ardhini (field) pia hivyo tuna picha nzuri zaidi kuliko wanaongalia kwenye media tu- Hali ni mbaya sana. Jana nilikuwa kwenye mkutano wa CCM Manzese yaani kijani wenyewe wanaongea kuwa mwaka huu mambo ni magumu sana. Yaaani JK anahutubia kijani wenyewe wanasema duu...hapo kachapia, Slaa noma, sijui itakuwaje.....nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom