Ashughulikiwa na mganga wa kienyeji

Ashughulikiwa na mganga wa kienyeji

Mali ipatikanayo pole pole hukaa na kudumu.

Huwezi kupanda ngazi ya 10 wakati hujapita ya kwanza mpaka ya 9

Utapasuka Msamba.

Mungu ndiye atupaye nguvu za kupata utajiri, atakubariki shambani, kazi za mikono yako, kapu lako,
chombo chako cha kukandia .............

umenena vema,,,neno likaongeza,,"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
wajinga siku zote ni mtaji wa wajanja!. wajinga endeleeni kutafunwa hivyohivyo nyie si mnataka vya bure?. tafunweni kwakuwa mlipewa bure!. pili mganga akishakutafuna anakuacha vilevile!. huyo mganga namshauri awambie na wenzie ili wawe wanatoa huduma ya kutafuna wajinga tu>
 
Waliwe tu na mimi nasema waliwe tu? maana tumesema tumechoka. Tukikuagiza uache halafu wewe unakaidi na kwenda kwa Mganga kutafuta mali, Uliwe tu na nasema waliwe tu!
 
Back
Top Bottom