Ashakum si Matusi, niweni radhi wakulu, eti Mabingwa wa Kagame, mweee

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
575482_274225302683543_781838277_n.jpg
 
No professionalism kwenye soka la bongo. Ndo maana waganga na wachawi wanapewa nafasi kubwa ya kiushauri kuliko hata wataalam wenyewe wa soka.
Soka letu kwa mfumo huu halitaendelea ng'oooo
 
Sasa kama kwenye viwanja vya mpira hakuna vyoo watafanyaje mkuu Bujibuji?
 
Last edited by a moderator:
Hii ipo kila mahali hapa bongo,na walevi ndio watu wanaoongoza kukojoa hovyo mitaani
 
Hapo kuna kazi

Japokuwa vyoo vinaweza visiwepo lakini siamini sana hivyo, sanasana ni tabia na makuzi, Aibu ni dalili ya mtu mwenye kujitambua kwa undani zaidi, hawa hawana aibu! Na hawaoni aibu?
 
Aisee! Hawa hawajafundwa kwamba wao ni role models na kuna wengi wanapenda kuwa kama wao.wanawaangalia ktk matendo na mengineyo. Je, ni hayo ndio wanawapa admirers wao?
 
Yaelekea mchezo unaoujua maishani mwako kwa kuucheza ni MDAKO tu ambao huchezwa kwa kukaa chini. Mpira wa miguu baba hauchezeki kama umebanwa na mkojo. Hata presidaa wa nchi asipopatiwa choo mambo yakimzidi atakojoa kwenye kapeti la ikulu
 
Aisee! Hawa hawajafundwa kwamba wao ni role models na kuna wengi wanapenda kuwa kama wao.wanawaangalia ktk matendo na mengineyo. Je, ni hayo ndio wanawapa admirers wao?

Role modeling ianzie kwenye ujenzi wa vyoo. Tuache akili za kiumwakyembe, sehemu za kujisaidia zijengwe kabla ya kuwalaumu watu wasijisaidie hovyo
 
Bado ninasita kukubaliana na hilo kwa sbb kutokuwa na vyoo sio sbb ya kutotafuta mahali pa kujistiri panapostahiki.
 
Back
Top Bottom