Mkuu wewe sio mgeni hapa jamvini... Basi tuhurumie sie tunaotumia mchina kubrowse JF.
Kulikuwa na ulazima gani wa kuqoute thread nzima na kisha kuandika mstari mmoja????
Mtambuzi; THREAD HII ni nzuri sana. Samahani sikuiona mapema au vipi na tena samahani kwa kuwarudisha tena huko. Kesi hii ilifanyika katikati ya kipindi changu cha JKT na UDSM. Ama ilinikuta nikiwa JKT au nilikuwa UDSM kama mwanafunzi wa FoE kumbukumbu yangu ina vimelea sasa. Ila ninaamini kuwa death penalty sentence hii haikuwa carried out kwa sababu rais hakusain death warrant ya huyu mama, I am right?
Judge bahati was so fare to his judgementDah so sad ila ndefu bana
Bado yupo na Dr hauling?Mama huyu yuko uraiani alpata msamaha kipindi cha mkapa
Mkuu umeadimika sana jukwaa hili, tupe bana kesi zilizovuma kipindi hikoWana JF wenzangu na wasomaji wa JF, kama nilivyoahidi wiki iliyopita kwamba nitarejea kesi za Afika Mashariki na leo nimekuja na kesi hii iliyovuma sana miaka ya 80.
Kesi hii nimeipata kwa ushirikiano wa maktaba ya mahakama kuu, na bado naendelea kutafuta kesi nyingine ambazo nitakuwa naziweka hapa kwa kadiri muda utakavyoniruhusu.
Naomba sana ushirikiano wenu, ili tuweze kukusanya kumbukumbu hizi kwa ajili ya vizazi vijavyo.
NB: Nipo tayari kupokea maoni, kukosolewa au kuelimishwa, pale ambapo nitakuwa nimekosea, maana mimi sio mtaalamu wa sheria na wala sijawahi kusoma sheria.
ahsanteNipo mkuu, kwa sasa nimepumzika kidogo lakini nitarudi very soon