Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

very moving

Kwangu mara ya mwisho kulia (kutoa machozi) nadhani ilikuwa 2001 - out of heartbreak.
Nimetoa machozi tena leo wakati na baada ya kusoma hii case

Nimelia kwa ajili ya Asha
Nimelia kwa ajili ya Happiness
nimelia kwa ajili ya wanawake wote ambao kwa namna moja au nyingine sisi wanaume tunawasababishia watende ukatili wakati at heart they are very tender and very loving

natumaini Mungu alimsamehe Happiness dhambi zake na kumpokea kwenye makazi ya milele
Natumaini life dealt kindly with Asha baada ya hukumu
Natumaini mume wake Asha naye hakutoka scotch-free, angalau awe alivunjika mguu katika maisha yake!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu wewe sio mgeni hapa jamvini... Basi tuhurumie sie tunaotumia mchina kubrowse JF.

Kulikuwa na ulazima gani wa kuqoute thread nzima na kisha kuandika mstari mmoja????

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu umenifurahisha sana!
 
Mbu;

sasa sasa sasa wanchanganya yakhee
Musaa alitumwa dukani kitonga au alitumwa mkaa Kariakoo akaambiwa asirudi nyumbani mpaka ipite saa sita?

Musa alishiriki kuchimba kabuli (na hivyo alijua mahali mwili ulipozikwa) au alichoona ni damu tu na kuambiwa siku kadhaa baadae kuwa "nimemmaliza adui yangu"?
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi; THREAD HII ni nzuri sana. Samahani sikuiona mapema au vipi na tena samahani kwa kuwarudisha tena huko. Kesi hii ilifanyika katikati ya kipindi changu cha JKT na UDSM. Ama ilinikuta nikiwa JKT au nilikuwa UDSM kama mwanafunzi wa FoE kumbukumbu yangu ina vimelea sasa. Ila ninaamini kuwa death penalty sentence hii haikuwa carried out kwa sababu rais hakusain death warrant ya huyu mama, I am right?
 
Last edited by a moderator:
Huku nimepita tu kulingana na kumbukumbu mujarabu kule jukwaa la picha link iliyowekwa kule ndo imebileta huku
 
Mtambuzi; THREAD HII ni nzuri sana. Samahani sikuiona mapema au vipi na tena samahani kwa kuwarudisha tena huko. Kesi hii ilifanyika katikati ya kipindi changu cha JKT na UDSM. Ama ilinikuta nikiwa JKT au nilikuwa UDSM kama mwanafunzi wa FoE kumbukumbu yangu ina vimelea sasa. Ila ninaamini kuwa death penalty sentence hii haikuwa carried out kwa sababu rais hakusain death warrant ya huyu mama, I am right?

Mama huyu yuko uraiani alpata msamaha kipindi cha mkapa
 
Last edited by a moderator:
Duh yani unaiba mume wa mtu and u have the nerve kwenda kwa mkewe...
Hata kama napenda vipi kuua ni worst case scenario aisee,mapenzi haya tuwe tunaangalia jmn,mwisho wa siku wamekosa wote
 
Wana JF wenzangu na wasomaji wa JF, kama nilivyoahidi wiki iliyopita kwamba nitarejea kesi za Afika Mashariki na leo nimekuja na kesi hii iliyovuma sana miaka ya 80.

Kesi hii nimeipata kwa ushirikiano wa maktaba ya mahakama kuu, na bado naendelea kutafuta kesi nyingine ambazo nitakuwa naziweka hapa kwa kadiri muda utakavyoniruhusu.

Naomba sana ushirikiano wenu, ili tuweze kukusanya kumbukumbu hizi kwa ajili ya vizazi vijavyo.

NB: Nipo tayari kupokea maoni, kukosolewa au kuelimishwa, pale ambapo nitakuwa nimekosea, maana mimi sio mtaalamu wa sheria na wala sijawahi kusoma sheria.
Mkuu umeadimika sana jukwaa hili, tupe bana kesi zilizovuma kipindi hiko
 
Daaa, elimu haina mwisho, nimeisoma vizuri na kupata mwangaza nini kilitokea kipindi hicho, was still young na kijijini kujua chochote. Thanks Mkuu Mtambuzi
 
79 Reactions
Reply
Back
Top Bottom