Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
8,595
2,000
H

Ninavyokwambia hivyo Nina uhakika 100%,,huyu mama kwao na kwetu ni jirani kule wilaya ya moshi vijijini,jimbo la vunjo,kata ya makuyuni kitongoji cha saghana,,,yupo hai mpaka Leo,,
Ok mpe pole.
Nimesoma hukumu, alikuwa katika wakati mgumu
 
Zuberih

Zuberih

Member
Dec 22, 2017
13
45
Alikua rafiki mkubwa sana wa mama yangu,,hata alivyotoka jela alikuja hadi nyumbani na hapo mm ndipo nilipomjua rasmi,,mwanzon nilikua naiskia tu hiyo story kwani tukio wakati linafanyika 1983 nilikua na mwaka mmoja tu
 
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
2,281
2,000
Hayupo kule kwasasa,,alihama baada ya kuona watu wanamtenga,,,nitumie FB account yako nikuunganishe na watoto wa kaka zake ambao nimesoma nao shule ya msingi wanaweza kukujuza alipo kwasasa
Yeye hakuzaa na Mzee haule?
 
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
2,281
2,000
TOFAUTI YA MWANAMKE NA MWANAUME

MWANAUME AKITEMBEA NA MKE WA MTU ATAHAKIKISHA INAKUWA SIRI KUBWA ILI MUME ASIJUE.

MWANAMKE AKITEMBEA NA MUME WA MTU ANAFANYA SIFA NA KUJITANGAZIA KWA WATU NA HATA KUMTAMBIA MWENYE MUME, HUU NI UPUMBAVU UNAOFANYWA NA DADA ZETU.

HIVI, MTU AKITEMBEA NA MKEO/MUMEO HALAFU AKAWA ANAJISIFU NA KUKUTAMBIA, UAMUZI WA KUDHURU HAUTAKUJA??

SIMLAUMU BI. MKWIZU, NAMLAUMU MAREHEMU HAPPYNESS.

MISTAKE ALIYOCHEZA BI. MKWIZU NI KUTOA MAELEZO POLISI AKIWA NA HASIRA NA KUMSMULIA HOUSEBOY

USHAHD ULIOMFUNGA BI. MKWIZU NI MAELEZO YAKE YA POLIS NA KUMSMULIA MUSA.

KUNA BINTI MMOJA ALITEMBEA NA MUME WA MTU, AKAPEWA ONYO NA MWENYE MUME LAKN AKAISHIA KUDHIHAK KAMA BI. HAPPYNESS

KILICHOMKUTA NI KUTOA DAMU YA HEDHI ISYO NA KIKOMO, MPAKA MAUTI YALIVYOMKUTA.

WADADA, KUWEN NA STARA MNAVYOTEMBEA NA WAUME ZA WATU.
Tumesikia
 
M

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
7,255
2,000
kifo kikikuita unakifuata tu
 
mjumbe wa bwana

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
4,045
2,000
Mkuu naomba uweke na case ya mwalimu Peter muhozi vs AG na ya hamisi and six other vs AG ipo kwenye kitabu cha administrative law by chipet na kama unacho naomba unipe
 
BUMIJA

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
3,379
2,000
Niliona jamaa akimchoma kisu mwenzake kisa wanagombea barmed mabibo dar bar ya chabruma
 
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
13,500
2,000
Ndugu Mtambuzi kwahiyo huyu Mwanamke alinyongwa au
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
442
500
Kesi muhimu sana hasa kwenye Crimina Law (jinai) na reference kwenye Marriage Law (Sheria ya Ndoa)
 
M

Mzee Kijana

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
774
500
Nina UHAKIKA 100% Huyo mama alifariki kwa kupigwa na mfungwa mwenziwe gerezani.
Aliyefariki kwa kupigwa na kuni na mfungwa mwenziwe ni Maryam Siri ambaye alihukumiwa kunyongwa kwa kumuua mumewe na kumfukia kisimani nadhani kule Bagamoyo. Ndugu wa marehemu walipokuwa wakimuuliza ndugu yao alikuwa akiwajibu ameenda Uarabuni na akawakataza majirani kutumia kisima akidai kuna mbwa kafia humo. Alipohukumiwa alipelekwa Isanga Dodoma ambako mauti yalimfika kwa kupigwa kwa kuni na mfungwa mwenzie.
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
28,000
2,000
nadhan happiness naye hakuwa na akili nzuri. yaani unatembea na mume wa mtu. mwenye mume amekupeleka mpaka polisi. baadaye mnarudi anakushawishi mwende kwake ukale unywe na bia unaoa ni sawa tu. we una akili sawasawa?
Huyo Happiness kwenye familia yao wote hawana adabu!
Kuna mdogo wake alimnyang'anya mwalimu wetu aliyetufundisha primary school mume hadi leo wanaishi uke wenza.
Kuna mdogo wake mwingine ndio mshenzi kabisa, alikuwa anatembea na mzee fulani hivi, basi ikatokea huyo mzee mkewe akafariki, bila aibu siku ya mazishi huyo hawara akawa anaongea kwa sauti mbele ya waombolezaji " HEBU WAZIKE HARAKA MIE NIHAMIE KWA HUYU MZEE....."
Ni familia ambayo kuchukua mume wa mtu kwao ni poa tu japo kwao ni kijijini sana!
Kwa kuwaona hao wadogo zake Happiness tabia zao, basi sina shaka yoyote kuwa marehemu alienda nyumbani kwa Asha kwa kiburi...
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,485
2,000
Naweza waona kwa picha? Kama wana account insta,fb nitumie inbox nione ni wanawake wa namna gani hao....😁😁😁

Hata simu ya smart hawana. wako huko kwetu kijijini kabisa kabisa wilaya ya Mwanga - Kilimanjaro.
 
mkuu wa kijiji

mkuu wa kijiji

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
710
1,000
Naogopa kesi lakini ni mjanja wa kufuatilia kesi Sana ndani na nje ya nchi
 
NosradamusEstrademe

NosradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
1,702
45
nadhan happiness naye hakuwa na akili nzuri. yaani unatembea na mume wa mtu. mwenye mume amekupeleka mpaka polisi. baadaye mnarudi anakushawishi mwende kwake ukale unywe na bia unaoa ni sawa tu. we una akili sawasawa?
Gudume Happyness ndio alimpeleka mke halali wa Dr Hauli polisi hapo ndio ujue alikuwa hazimtoshi
 
Top Bottom