Asha Migiro hatulii NY?

Asha Migiro hatulii NY?

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
pakua+(20).jpg
03.jpg

Nashangaa kumwona Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Asha Migiro akiwa Tanzania na kutembelea Ikulu, sijajua kazi yake inamruhuku kurudi likizo kila mwezi Tanzania au Umoja wa mataifa una vipa umbele vya pekee kumtuma Naibu Katibu Mkuu wake kuja Tanzania? Au anaandaliwa kwa jambo jingine muhimu siku za usoni hapa nchini? Wiki alikuwepo Tanzania na kuonana na Mkulu kama picha inavyoonyesha.

Tusome source hii tuliyoletewa na mdau

Bofya hapa: Inner City Press: Investigative Reporting from the United Nations

[FONT='Times New Roman', serif]
UNITED NATIONS, August 9 -- With the UN's two top officials both out of New York, their spokespeople are having trouble
[/FONT]explaining what they are doing.
Secretary General Ban Ki-moon is in South Korea, while Deputy Secretary General Asha-Rose Migiro is listed on "official travel" from July 18 to August 16. Yet despite two requests from Inner City Press for an explanation of this "official" travel, not a single official UN act has been described. Nor does Ban's spokesperson's office, when asked, seem to know what Ban is doing in his native South Korea. On August 9, Inner City Press asked Ban's acting deputy spokesman Farhan Haq about one of Ban's actions while away:

fanya utengeneze mtandao mama mkulu bado hana mtu wa uhakika
 
Vijana wa CDM wameanza kupaka matope
 
mwacheni huyu ndy jamaa atatorokea makundi japo dhana ya dini itakuwa imefanikiwa
 
Wacheni wivu kwani akirudi kujiandaa na 2015 kuna tatizo gani. Kila kitu maandalizi mwacheni mama wa watu. Mwisho wa siku sisi ndio waamuzi kumpa tunayemtaka. atoke cdm, sisiem, t elpi au kokote kule.
 
Kuna baadhi ya watu wanamatatizo sana,unapaswa kujua kinamleta nini(kama uko unapenda kujua anayoyafanya yote ktk maisha yake na safari zake) cyo kuhic na kudhani,huu ugonjwa wa kuhic na kudhani unatutafuna sana waTZ,TZ ni kwao anahaki zote zakufika,na ni katibu wa UN yupo kazini,kuja kwake TZ wewe kunakudhuru nini kwani?
 
Suala la urais linaweza kuwa gumu kwa vigezo vya jinsia na dini. Kwa taratibu zisizo rasmi Rais ajaye anatarajiwa awe mkristu na ikiwezekana kutoka ZnZ.
 
pakua+%2820%29.jpg

Nashangaa kumwona Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Asha Migiro akiwa Tanzania na kutembelea Ikulu, sijajua kazi yake inamruhuku kurudi likizo kila mwezi Tanzania au Umoja wa mataifa una vipa umbele vya pekee kumtuma Naibu Katibu Mkuu wake kuja Tanzania? Au anaandaliwa kwa jambo jingine muhimu siku za usoni hapa nchini? Wiki alikuwepo Tanzania na kuonana na Mkulu kama picha inavyoonyesha.

HIVI VIATU VYA MKUU NDIO VILE ALIVYOLETEWA NA WAARABU WA KEMPINSKI AU??MAANA VIMEPINDA KIAINA.MKUU UZA NA ILE NYUMBA PALE KIGAMBONI WAKULETEE VIATU VINGINE ha;;
 
HIVI VIATU VYA MKUU NDIO VILE ALIVYOLETEWA NA WAARABU WA KEMPINSKI AU??MAANA VIMEPINDA KIAINA.MKUU UZA NA ILE NYUMBA PALE KIGAMBONI WAKULETEE VIATU VINGINE ha;;

Mona kama viatu tofauti....Cha kushoto si cha kufunga na kamba na cha kulia ni kama vile cha kufunga na kamba, au hii computer yangu ndo imechanganya picha?
 
Mbio za uraisi hizo,na hajue hapati ng'o watanzania sio wajinga namna hiyo.........
 
Bakwata watalaani yeyote atakayemchafua huyu mama.
 
Anajitahidi kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya 2025. Subiri na yeye amwagiwe Pollonium ndiyo atapata akili kuwa ikulu haikimbiliwi.
 
Back
Top Bottom