Amen, ameen!
Na baada ya mfungo tusizirudie dhambi zetu. Tuutafute utakatifu.
teh teh teh teh ahsante sana mkuu kwa taaarifa tu, charminglady, Smile, measkron, Preta, Paloma, marejesho, King'asti, na wadada wooooooooote wa chit chat bila kuwasahau ma-aunt wa chit chat Mamndenyi, Kongosho et al NATANGAZA HIVI HAKUNA OFFER YA LUNCH LEO NA MPAKA KWARESMA IISHE, KUMBUKENI KUFUNGA WOTE.
cc; Nicas Mtei, Erickb52, Bishanga, Mtambuzi, Filipo, Arushaone, Mr Rocky NA WENGINE WOOOTE MFUNGE PIA
DAHA ANGALAU MPUNGUZE NA VITAMBI SASA!!!!
BTW, KWARESMA NJEMA NA HAKA KAWIMBO KAWAKUMBUSHE Mateso Yake Bwana Yesu - YouTube
Amen, ameen!
Na baada ya mfungo tusizirudie dhambi zetu. Tuutafute utakatifu.
Bwana Yesu, ninakuja kwako leo hii, maana nimeteambua maisha bila ya wewe ni bure na ni mabaya sana. naomba unisamehe sana dhambi zangu, na uovu wote niliokutenda, nawasamehe na wote walionikosea, nakuomba ufute jina langu kwenye kitabu cha hukumu uliandike kwenye kitabu cha uzima, uniponye na uniweke huru kutoka vifungo na mateso yote yaliyoniandama kwa kuishi dhambini, EE Yesu unisaidie na unisikie. ahsante kwa Neema yako ya wokovu
Ahsante Yesu, Sifa kwa Yesu