Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,111
hahahahaaaa hadi kitimoto hakuna?
funga siku ya jumatano ya majivu usile nyama siku ya ijumaa kuu
lazima kitambi kishuke..... raha!
hahahahaaaa hadi kitimoto hakuna?
Hahahahaaaa haachi mtu yan na nilivyokimiss lol nikifungua tu naenda zangu Shwainfunga siku ya jumatano ya majivu usile nyama siku ya ijumaa kuu
lazima kitambi kishuke..... raha!
looooh nimesahau...........nimeshakula mie!!!
anyway Smiling Saint nna dozi mwenzio...!!!
Amen, ameen!
Na baada ya mfungo tusizirudie dhambi zetu. Tuutafute utakatifu.
Smiling Saint asante sana kwa ujumbe wa leo na nakuhakikishia nitafunga aise ila nina wasi wasi na Erickb52
kwani kwaresma imeanza au?
ndiyo, we doja?
huyu jamaa itabidi tumuulize, nahisi ameshachapa supu tayari!!
Yes, ten ufunge ati.... futa bajeti ya menu ya leodoja mwenyewe!ila si unajua nipo busy na maandalizi ya my wedd?nijuze vizuri kama leo jumatano ya majivu bna!
nina wasi wasi na canteen fulani mitaa ya Arusha mjini kama hajapita huyu!! ngoja nisiitaje!! by the way green hut pazuri!!Tena atakuwa amepitia kupata supu mapema sana hakumbuki kama leo ni Mwanzo wa Kwaresma
Yes, ten ufunge ati.... futa bajeti ya menu ya leo
..ukapake majivu...Amen!!!
usihofu mama yangu ni nini kitakachotutenga na Upendo wa Kristo? Warumi 8:32-39
na basi waweza sali sala hii hapa kwa imani [sio ki-chitchat]
Ashukuriwe Mungu, i am just a very little servant He is the one who does it all. Glory be to GodMkuu asante sana kwa hili
niko huru sasa.
Ashukuriwe Mungu, i am just a very little servant He is the one who does it all. Glory be to God