Ndugu Molemo, Japokuwa mimi iyo mshabiki wa siasa za Dr Slaa, na si tumaini yangu kuwa atapata fursa ya kuongoza nchi yetu, Lakini inanibidii nikupe pongezi kubwa sana, kwa jitihada zako za kuwafumba macho watanzania na matokeo ya ukweli yaliyotokea katika ziara za slaa huko kigoma.
ukweli tunaujua na matokeo ya ziara yake haikufanikishwa kama mlivyoipanga, katika kila jambo kuna 2 sides of the coin, hapa, what was almost successful ni namna ulivyoweza kujaribu kufanya damage control kwa kutumia concoted reports katika mitandao, na kuwajengea morals viongozi wako. Kijana you have potential ya kuwa a very good PR Person, uendapo utaweza kuutumia ujuzi wako in a very productive manner and achieve better future.
You should be able to make politicians, but dont allow them to run, you have created your position , just commercialize it without any affiliations, you can always vote for your favoured man and party, but you should be able to make your living everywhere.