MUKINGA MSANGI
Member
- Apr 20, 2013
- 12
- 1
Simba wa Yuda hua hatishiki kwani anajua yaliyopita ya sasa na yajayo. Na hua mwenye ujasiri ndie atakae iongoza nchi hii kwani tumeona hapo nyuma wakina Nyerere, mandela na wengine wengi waliokwisha ongoza nchi za kiafrika walikua ni majasiri kwa kupambana na makaburu na watu ambao walikua wadhalimu hatimae wakawashinda wadhalimu hao. Kwahio Doctor Slaa ni miongoni wa mashujaa hao.