Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

Dr.Slaa si mwanasiasa wa kawaida. Ni mwanasiasa kweli. Hongera sana Dr.Slaa kwa kuendelea kuwa darasa langu

Kumbe ndiyo maaanaaaa ulitaka wakili Msando asubiri! Padri Dr Slaa ni darasa lako!!!!! Mmmhhhhuuu kumbeeee!
 
Asante sana Dr Slaa, rais wa mioyoni mwetu.

Endelea kutufundisha siasa za ukweli kwa lengo la kuikomboa nchi yetu.

Mungu azidi kukutia nguvu

rais wa familia yako sio wa nchi hii niijuayo mimi
 
Zitto amemzeesha babu slaa. Yaani ziara ya wiki tu yupo hoooiiii
 
Dr slaa ni double standard ukute hapa anafurahia posho ya per DM
 
..

....Kamanda Molemo ukimwona Sixgate huko msalimie!!!

Sixgates hajulikani yuko anga gani sasa baada ya walevi wa Chang'aa na gongo kushindwa kumiza malengo yake.

Hana issue aendelee kumtumikia Mwegulu wake labda atapata kula kidogo.
 
Dr.Slaa si mwanasiasa wa kawaida. Ni mwanasiasa kweli. Hongera sana Dr.Slaa kwa kuendelea kuwa darasa langu

Ni kweli mkuu slaa siyo mwanasiasa wa kawaida bali ni mwanasiasa anayeendesha siasa za kilaghai siku zote.
 
Kumbe ndiyo maaanaaaa ulitaka wakili Msando asubiri! Padri Dr Slaa ni darasa lako!!!!! Mmmhhhhuuu kumbeeee!
Padre slaa ni mtu aliyefilisika kidini, kifamilia na kisiasa
 
sijawahi kuona siku hata moja slaa akifanya siasa za maana zaidi ya majungu na kulaghai watu.
 
Back
Top Bottom