Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
katibu mkuu wa chadema dk. wilbroad slaa amehitimisha ziara yake kigoma kwa ushindi mkubwa pamoja na kwamba kulikuwa na changamoto nyingi kumzuia kufanikisha mpango huo wa kukijenga chama kutokana na njama chafu za ccm.Akizungumza kwenye kikao cha baraza la chama mkoani huko amewashukuru wanakigoma kwa ushirikiano mkubwa waliompa katika ziara yake hiyo pamoja na kwamba kulikuwa na njama chafu za ccm kuwahadaa wananchi lkn ameshukuru wananchi kuwapuuza wananchi hao.
Sasa ndugu zangu nashukuruni nyote naomba kazi ya kukijenga chama muiendeleze ili 2015 tuwakabidhi watanzania nchi yao maana nchi ilivyo sasa kama sisi watanzania tumekodi kuishi hatuna matumaini na serikali hii mbovu ya ccm, alisema dk. slaa katika baraza la chama mkoani huko.
Akiongeza kuwa sasa anakwenda mkoani singida kukijenga chama na anawaomba watanzania na wanachama wanaokitakia mema chama na nchi yao kumuombea mungu afanikishe kwa amani, alimalizia.
pipoooooz, ccm hamkubali tuu????
Umoja Ndio fahari yetu, Undugu ndio Nguvu, Chuki na Ukabila hatuvitaki hata kamwe, Lazima tuungane,Tuijenge Nchi yetu, Asiwe hata mmoja,Anayetenganisha,Tunaishi na Tumaini. Nategemea Daima Tanzania, Hekima yetu ni Siasa iliyo safi Daima mimi Mtanzania Mwananchi Mzalendo, Kwa huzuni na Mateso Chadema wameteswa, Hawakushtushwa na risasi hawakushtushwa na Mijeledi, Nia yao Ukombozi. Chadema Daima.