Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Umoja Ndio fahari yetu, Undugu ndio Nguvu, Chuki na Ukabila hatuvitaki hata kamwe, Lazima tuungane,Tuijenge Nchi yetu, Asiwe hata mmoja,Anayetenganisha,Tunaishi na Tumaini. Nategemea Daima Tanzania, Hekima yetu ni Siasa iliyo safi Daima mimi Mtanzania Mwananchi Mzalendo, Kwa huzuni na Mateso Chadema wameteswa, Hawakushtushwa na risasi hawakushtushwa na Mijeledi, Nia yao Ukombozi. Chadema Daima.
Haya maneno ni mazuri, yanastahili kuwa utangulizi sijui kitabu gani cha cdm? Dr. Slaa is ready for the presidency. Tutoe support yetu yote kuhakikisha lengo ili linatimia.