Asanteni kina dada wa mikoani

Huku tunatafuta hela usifanye mchezo ww hukumaliza hata laki,wakati hao ana steka za mazao za kutosha.huku watu wanahitaji mapenzi ya kweli km hela wanawake tunayo
 
Oyoooo wandali tunasema ukiwa mwanaume ule kwa jasho sasa mwanaume wa dar umekuja kujumua ndizi unajifanya mjuaji utafilisika mpaka......
 
Mwanamke kahongwa mwamvuli tu...! Daah! Huu mwamvuli bei gani?
 
Kwa sisi ma Ustadhi... Ukiitwa kuchinja mf.. Lile beberu la mbuzi ambalo linatoa harufu... Kwanza lazima ulioshe vizur ili nyama isiwe na harufu ya ubeberu... Kwaiyo Bro ukiona unaudumiwa hvyo ujue kibra ipo karibu...
 
Mkuu hapo inabidi niangalie kwa jicho la tatu
 
Mkuu hapo inabidi niangalie kwa jicho la tatu
Cha kufanya mfahamu vizur kwanza... Ndo uwe huru kunywa mpaka ukatambaa.... Maana Mbeya kila kitu kwao dili... Unaweza ukakuta kapenda uwalaza, kiganja au hata nywele zako.. Kwaiyo kwa sasa ana kuseti ili aone kama una marafiki wa karibu hapo mbeya na kama hauna hata akikupoteza issue isiwe kubwa... Take care bro
 
Asante sana mkuu umenishauri vzr mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…