Nimewapenda sana kwa jinsi mlivyo na msimamo na Wing yenu.
Hakika nimejifunza vitu vingi toka kwenu.
Mzee wa Rula, PakaJimmy, Arushaone, Philipo, Tonykp, LiverpoolFC, mkiva... Preta, @Blakiwomani, Cantalisia, Lily Flower......nawapenda sanaaa.
IGWE....ulikuwa na haraka ya nini bhanaaaa!!!!
Nimepapenda sana The Narok.
Live Band.....tulikula na kula kwa furaha.
Nawapenda sana.
TUTAKUTANA SAFARINI MWANZA.
Mmmwwwahhhhhh....!!!!!!!
mkiva.....miss sana wewe.
.... nawapenda sanaaaa.
halafu wee!
Alafu wewe..........
ufike salama mke mwenza, natumai mume wangu ulimuacha salama lol!!!
Itabidi tuwasiliane aisee
mhm! sijui nduguyangu kama shem alibaki salama hapo?
una visanga nawe na kama sio vituko vya kiaina ndo ughaibuni hapo?
angalia usimdhuru shem wangu bure bestito
hahahaaa muone!
Nimewapenda sana kwa jinsi mlivyo na msimamo na Wing yenu.
Hakika nimejifunza vitu vingi toka kwenu.
Mzee wa Rula, PakaJimmy, Arushaone, Philipo, Tonykp, LiverpoolFC, mkiva... Preta, @Blakiwomani, Cantalisia, Lily Flower......nawapenda sanaaa.
IGWE....ulikuwa na haraka ya nini bhanaaaa!!!!
Nimepapenda sana The Narok.
Live Band.....tulikula na kula kwa furaha.
Nawapenda sana.
TUTAKUTANA SAFARINI MWANZA.
Mmmwwwahhhhhh....!!!!!!!
mkiva.....miss sana wewe.
.... nawapenda sanaaaa.
Shauri yako mpenzi
eti??????????
natumai alibaki salama cousin maana mume wangu sikuhizi ametulia halafu kaokoka!
na mimi nimemiss kukuona Arusha ila Dar tutaonana lol!
Niliwaona sehemu nikashindwa kujumuika nanyi...nikiogopa kuzuzuliwa......
cousin hivi hujui kama ameshatua ndani ya Geneva huyu?