Asante waziri namrudisha kwao hana cheti cha kidato cha nne

Nazi embe

Senior Member
Sep 20, 2016
105
123
Siku napata habari serikali imesema binti kuolewa mpaka awe na cheti cha kidato cha nne niliruka ruka kwa shangwe na ndelemo kwani bi tukinao alikuwa kaniganda sana mpaka wazazi wake ooh oa oa uwezi mchezea mtoto wetu mara hivi mara vile

Kishingo upande nikaanza kuishi naye hivyo hivyo tu ila kelele za ndoa lini hazikuisha nikawa natoa tarehe tu ila baada ya tamko la waziri kidume nikatuma washenga waende tangaza nia yangu ila nkawambia ombeni cheti cha kidato cha nne cha binti wakisema bnti hana cheti sitisheni mazungumzo

Kweli bwana kuomba cheti binti hana cheti ikabidi mazungumzo yaishie pale washenga wakasema hii serikali si ya mchezo hawataki miye nifungwe

Mpaka mda huu bi tukinao karudi kwao hana cheti sasa taishi naye viti wakati miye nataka kuoa

Haaaa haaa hongera sana serikali ya awamu ya tano
 
Hivi wanawake ndo wanaotakiwa kuonyesha vyeti, ila mwanaume hata kama hana poa tu? Serikali ya Magufuli anaijua mwenyewe kwa kweli!!
 
Kwanini usiwaambie Ndoa mtafunga akimaliza QT au UPE unampeleka ili asome tu apate angalau D tu ili apate cheti ili mfunge ndoa??
 
Siku napata habari serikali imesema binti kuolewa mpaka awe na cheti cha kidato cha nne niliruka ruka kwa shangwe na ndelemo kwani bi tukinao alikuwa kaniganda sana mpaka wazazi wake ooh oa oa uwezi mchezea mtoto wetu mara hivi mara vile

Kishingo upande nikaanza kuishi naye hivyo hivyo tu ila kelele za ndoa lini hazikuisha nikawa natoa tarehe tu ila baada ya tamko la waziri kidume nikatuma washenga waende tangaza nia yangu ila nkawambia ombeni cheti cha kidato cha nne cha binti wakisema bnti hana cheti sitisheni mazungumzo

Kweli bwana kuomba cheti binti hana cheti ikabidi mazungumzo yaishie pale washenga wakasema hii serikali si ya mchezo hawataki miye nifungwe

Mpaka mda huu bi tukinao karudi kwao hana cheti sasa taishi naye viti wakati miye nataka kuoa

Haaaa haaa hongera sana serikali ya awamu ya tano
Huku unaandika ya wanaume kwenye profile yako ni female

Dah
 
Kinachonishangaza nikijaribu ku link hii post na jinsia yako kwenye profile, equation inakataa kubalance..
Screenshot_2017-11-06-07-15-41.png
 
Back
Top Bottom