Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

Nione mtu analalamika kuhusu bando tena hao ndio ttcl bhana.

Achaneni na hayo mamitandao ya matajiri.

NB: hizi bando za ttcl haziishi kama maji kama huko kwenye hayo mamitandao ya kitajiri
Screenshot_20200214-113833_Phone.jpeg
Screenshot_20200214-113703_Phone.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
chief ukae ukijua ttcl ndyo wanaowauzia voda mabando ndyo nao voda wakuuzie wewe.....ni km bakhresa aamue kukuuzia mfuko wa unga wa ngano moja moja toka kiwandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kutakuwa na makosa makubwa sana kama ndiyo hivyo. Chukulia mfano TBL amuuzie main distributor bei yake,then amuuzie tena final consumer bei ya chini kabisa. Distributor atafanya biashara kweli
 
jiunge halaf ingia instagram utaona kasi imepungua wameeka hvyo ila wamekata speed ya net...

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
Ila yote kwa yote tigo ni wezi sijawah kuona ***** zao. Jero unapata 75MB, Buku unapata 300MB wakati buku mbili wanakupa 1.5GB halafu zote ndani ya 24 hours. Hakuna value for money hapa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
bado hamna kitu hapo, hiyo 20GB ingekua bando ya mwezi ningerudi voda. BTW vifurushi vya voda hua vinaisha kwa kasi ya 5G usidanganyike.
Haha! Hii kitu imekuwa ikinistaajabisha sana. Nimekuwa natafuta kila njia ya kupunguza matumizi yangu, toa Facebook, toa Instagram na upuuzi mwingine, Ila wapi Mambo ni yaleyale. Jaribu mpaka kubadili kutoka 4G to 3G nimeambulia patupu.
 
Haha! Hii kitu imekuwa ikinistaajabisha sana. Nimekuwa natafuta kila njia ya kupunguza matumizi yangu, toa Facebook, toa Instagram na upuuzi mwingine, Ila wapi Mambo ni yaleyale. Jaribu mpaka kubadili kutoka 4G to 3G nimeambulia patupu.
hivi vipya wazee vinakaa tatizo wamekata speed..

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
Back
Top Bottom