Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

Maajabu ya Vodacom!

1.Internet Supa
-Vifurushi vya saa 24
Tsh 500 -Mb 80
Tsh 1000-Mb 300
-Vifurushi vya wiki
Tsh 15000-GB 10

2.JIMWAGE DATA
-Vifurushi vya siku
Tsh 500-Mb 250
Tsh1000-Mb600

-vifurushi vya wiki
Tsh 15000-GB 20

Yaani ni kama wanataka uingie chaka ujiunge vifurushi vyenye Mb ndogo kwa pesa ileile na kwa muda uleule ila Mb tofauti!
Au ukijiunga internet supa unakuwa VVIP na jimwage data unakuwa mzunguko?
 
Labda hivyo vifurushi ni kwa ajili ya customer care wao na sio wananchi wa kawaida (wateja)
 
Back
Top Bottom