At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,557
- 3,628
Ila bado hawajawafikia halotel.
Stay tuned
, Everything would be alright.
Stay tuned
, Everything would be alright.
, Everything would be alright.
, Everything would be alright.Data kwa 250Mb kwa T-shirt 500/= kwa Saa 24
3GB kwa Tsh 2,500/= kwa Siku
3Gb na 20GB kwa Tsh 15,000/= kwa Siku 7
Khantwe
Watu hawana huruma Aisee daah!![]()
bado hamna kitu hapo, hiyo 20GB ingekua bando ya mwezi ningerudi voda. BTW vifurushi vya voda hua vinaisha kwa kasi ya 5G usidanganyike.
Hii line ya kawaida au ya kundi maalum?Nione mtu analalamika kuhusu bando tena hao ndio ttcl bhana.
Achaneni na hayo mamitandao ya matajiri.
NB: hizi bando za ttcl haziishi kama maji kama huko kwenye hayo mamitandao ya kitajiriView attachment 1357029View attachment 1357030
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekuwa wezi maana sijawai ona unanunua kifurushi harafu wanakupangia matumizi kweli?Yaani bando zao zinaisha haraka sana hata ukijiunga ni sana na bure tuu


Nimetafakari sana sentensi yakoUnaweza kuunga hizo GB 3 kabla hujapiga bao la kwanza unaambiwa zimeisha.
Voda ni hatari sana...mm nimeamua kutumia halotel 7GB kwa sh 5,000 siku 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameweka 20GB kwa mwezi, price 20Kbado hamna kitu hapo, hiyo 20GB ingekua bando ya mwezi ningerudi voda. BTW vifurushi vya voda hua vinaisha kwa kasi ya 5G usidanganyike.
Wajinga sana,hata mimi wamenunasa,nimenunua cha 2,500/ kumbe ni cha saa 24,nilidhani cha siku 3,wakome na hawanipati tena.Ni kwa siku Wamesema
Yani eti 2500 unapata 3Gb Per Day
Aloooh![]()
![]()
![]()
![]()
Spidi yake unaweza kuitupa simu bahariniMkuu inaonekana hujatumia haloteli wewe, ina bundles za bei yakueleweka na zinadumu
Sent using Jamii Forums mobile app