Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,880
- 7,023
Kabisa
Kabisa
Wapuuzi sana kenge hawaWanacheza na akili za nani? 500x30days=15,000; 2,500x30days=75,000
Halotel ongeza minara.
Ni balaaaVile MB's za voda zinaisha ni kama ndoo inavuja maji vile.
chief ukae ukijua ttcl ndyo wanaowauzia voda mabando ndyo nao voda wakuuzie wewe.....ni km bakhresa aamue kukuuzia mfuko wa unga wa ngano moja moja toka kiwandani.Hawa jamaa sijui wanahudumia watanzania wa aina gani,ttcl GB 5 elfu tano mwezi mzima.
Ni speed tuu ya mtandao ile 4G yaoHivi kwa nini bundle la Voda linaisha fasta kuliko halotel
Hao ttcl ndio hawafai kabisaWatu tushakimbilia TTCL kitambo sana hiyo 2500 unapata GB3 kwa wiki then hiishi haraka si kama yao ukiwasha tu data mb zinaporomoka vbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Eleweni hivi Vodacom ni mtandao wa watu wenye hela.
4G kijijini ndaniNi speed tuu ya mtandao ile 4G yao
Hii mitandao Mingine ni 3G mpaka 2G
Ha ha ha! Pale daraja lapili wanapopewa nafasi ya daraja la kwanza 😂Thanks Voda sasa nawaelewa
Siyo kwa ttcl hii ya sasa hivi mkuu! Yani kwenye tablet yangu kitu kinasoma 4gKweli Nyumbani kumenoga
Lakini Vitu vingi vinavyosimamiwa na Serikali Magumashi Sana