Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

Asante Vodacom kwa vifurushi vipya

Watufikie Na Sisi Wa Kaya Masikini
Tuone Kama Tutafaidi Hilo Tunda La Vodacom
 
Mkuu kutakuwa na makosa makubwa sana kama ndiyo hivyo. Chukulia mfano TBL amuuzie main distributor bei yake,then amuuzie tena final consumer bei ya chini kabisa. Distributor atafanya biashara kweli
ndyo madudu ya serikali yetu.....hawajielewi kbsa, ili kukidhi ushindani wao wangejiweka pembeni na kubaki km main supplier.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom