Asante Vodacom Kwa Kunifanya Niwagundue BABA LAO!

Asante Vodacom Kwa Kunifanya Niwagundue BABA LAO!

...aaah! aaah! aaah!...mod tunaomba mwongozo wako,hili neno "Wangese" ni jipya na sidhani kama sheri za JF ziwaruhusu wanajamvi kutumia maneno ya kiswahili nje ya kamausi halali inayotambulika na baraza la kiswahili Tanzania...
Mbona unataka kuwa kama Pinda kutaja mawaziri waliopigwa chini huku yeye akijiona bomba. Na wewe shipa tu.
 
na ukitaka ufurahie vifurushi vya airtel kabla muda wako haujaisha jiunge tena ,yaani kama katika dk 40 ulibakiza dk 10 ziishe ujaiunga kbl hazijaisha wanaziongeza unakuwa na dk 50,full kujiachia tu
 
...aaah! aaah! aaah!...mod tunaomba mwongozo wako,hili neno "Wangese" ni jipya na sidhani kama sheri za JF ziwaruhusu wanajamvi kutumia maneno ya kiswahili nje ya kamausi halali inayotambulika na baraza la kiswahili Tanzania...
acha umbea hilo neno lina viwango vyote vya kutumika humu jf ila mods wasijue.
 
Na ukipiga mara network fail, mara not reachable, mara haiiti unashangaa imekata kimyakimya... modem zao nazo ndo usiseme sasahiv...
dogo yaani acha hawa voda ovyo kabisa. Wamenigombanisha na supervisor wangu, wiki yote hii ananitafuta eti sipatikani na simu ipo hewani muda wote. Sms za siku 3 ndio zimeingia jana. Shenzi sana hawa voda.
 
na ukitaka ufurahie vifurushi vya airtel kabla muda wako haujaisha jiunge tena ,yaani kama katika dk 40 ulibakiza dk 10 ziishe ujaiunga kbl hazijaisha wanaziongeza unakuwa na dk 50,full kujiachia tu
Ujinga wao wakishaona wateja wamekuwa wengi watazingua tu.
 
bundle yangu ya voda inaisha leo,nshanunua line ya airtel ,voda itakuwa kwa ajili ya m-pesa
 
Dah, mi nilidhani niko pekeyangu, yaani sms inachukua 24 hours kufika, ukituma pesa bank mpaka saa zima unasubiri tu. Sekta ya mobile money tigo wamekamata, mi nahamia Airtel + Tigo. Voda tutaonana next year ktkt
 
dogo yaani acha hawa voda ovyo kabisa. Wamenigombanisha na supervisor wangu, wiki yote hii ananitafuta eti sipatikani na simu ipo hewani muda wote. Sms za siku 3 ndio zimeingia jana. Shenzi sana hawa voda.
Pole sana dogo asije tu akakukamata kama ni wale wazee wenu wanoko...
 
Mkuu mimi utamu wa mitandao naupata kupitia mtandao mpya wa BOL. Nikiweka 5000 nasahau kabisa mambo ya vocha. Jaribu uone. Internet inakua free mwezi mzima.

Hao BOL mtandao wao unasumbua sana
 
Duuh! Ila Najua tutafika tu..

Vodacom wanakera na sijui ni nani anayewapa kiburi cha kunyanyasa wananchi katika nchi yao. Ni mabaradhuli, vibaka na wezi wa mchana kweupeee! Ukiwa Vodacom usiache kabisa salio kwenye simu asubuhi utakuta wameshakomba! Vibaka wakubwa hawa.
Binafsi nilikuwa na laini zaidi ya kumi, yaani mimi na kwenye mitandao ya biashara zangu ambapo wote tulitumia mtandao huo kuwasiliana lakini nimehama na kuwahamisha wote kutokana na tabia yao wa.she.nzi wasio na haya wala soni hawa. Sasa niko Airtel ambao pamoja na mapungufu machache nawaona poa.
Bila shaka uwepo wa viongozi kama wadau wa kampuni hii kama wenye hisa kunaifanya kampuni hii kuwa na kiburi ilicho nacho. Uwepo wa kina Lowassa na "rafiki" zake kunalisababishia taifa hasara kubwa mno kwani wahuni hawa hawalipi hata kodi.
Hata hili dude linaloitwa "Tume ya Mawasiliano" ni takataka tu, bora hata wafutwe tubaki kivyetu maana sasa hivi wanashughulikia nundu zilizoko chini ya vifua vyao na kusahau kabisa kufuatilia it daji wa haki wa wahuni na matapeli hawa VODACOM. Mungu awapige laana.
 
Dah, mi nilidhani niko pekeyangu, yaani sms inachukua 24 hours kufika, ukituma pesa bank mpaka saa zima unasubiri tu. Sekta ya mobile money tigo wamekamata, mi nahamia Airtel + Tigo. Voda tutaonana next year ktkt
Ukinunua Luku kwa mpesa ndo utakoma, unanunua sa 12 token inakuja saa 5 usiku watu mmeshalala... tigo ni balaa ukigusa tu unapata token hapohapo hadi nikajuta kwa nini sikulijua hilo mapema wakati line ninayo, maana sikuwaga kabisa na mazoea na tigopesa
 
Mi nilishajaribu, bahati mbaya luku ilikuwa ndo mara ya kwanza kununua, ilichukua wiki2 kurudishiwa pesa yangu
 
Mi nilishajaribu, bahati mbaya luku ilikuwa ndo mara ya kwanza kununua, ilichukua wiki2 kurudishiwa pesa yangu
Kuna dogo tulimpa hela anunue luku ya tsh 30,000/= siku za nyuma ajabu akasema hajarudishiwa token mpaka kesho na ni miez ilishapita...tukahisi katupiga maana nilikua sijawahi iskia hii.. hapo ndo nmeanza kuamini
 
Wakuu na mimi numehama rasmi.voda jana niko na baba lao sasa full kutwanga kotekote hakuna usumbufu voda nimepiga chini rasmi asante sana airtel kweli mnatosha
 
kwa shida na raha, Tigo express yourself.

japo naenjoy whattsap tu, kwenye sms ni kimeo zaid
 
Nilikuwa navifurahia sana vifurushi vya CHEKA BOMBASTIK vilivyokuwa vikiuzwa na mtandao wa Vodacom. Kipengele cha 'Kwenda Mitandao Yote' kwenye hicho kifurushi kilikuwa mkombozi wangu. Vodacom sijui walipata ushauri kutoka wapi, ghafla wakarekebisha kipengele cha 'Kwenda Mitandao Yote' na kupunguza mvuto wake. Kwa kuwa nahitaji mawasiliano na watu wangu walio kwenye mitandao mingine, nilianza kazi ya kutafuta mtandao mbadala. Tafuta yangu ikanifikisha mtandao wa Airtel. Hawa, wana vifurushi maridadi sana kuliko huko nilikotoka!Vifurushi vya siku ni kwa kila aina ya mfuko, kuanzia sh 399 mpaka 999 unachagua. Mimi hujiunga kile cha sh 999 ambacho unapata dk 40 kupiga mtandao wowote Tz, meseji 1000, na MB 300 za intaneti. Mungu anipe nini zaidi? Voda wasingenitibua, nisengegundua haya mambo ndo maana nawashukuru!

Kama hulipwi na Airtel inabidi waanze kukulipa maana umenifanya nikajipatie line ya Airtel nijaribu uliyoyaandika.
 
Back
Top Bottom