Asante Vodacom Kwa Kunifanya Niwagundue BABA LAO!

Voda majangaaaaaaaaa.
Aaaa ndo yumo nanii yule wa tabora igunga dot com aliyekuwa mbunge. Ndo maana aiseeee.
 
SHIEKA kweli Airtel yatosha. Hivyo vifurushi vyao vingekuwa vina uhakika wa kuwepo siku zote. Nisingehitaji hata line za mitandao mingine.
 
Last edited by a moderator:
Hata ile M-pesa yao ni janga. Kuna wakati ukitoa au kutuma hela inaning'inia hewani mpaka uwapigie kui-boost.
 
Wanafaa kupigwa chini maana wanataka kuleta yale yale ya kukaa na simu ya kila mtandao!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Voda walichonifanya leo sitowasahau kamwe! Wangese sana

...aaah! aaah! aaah!...mod tunaomba mwongozo wako,hili neno "Wangese" ni jipya na sidhani kama sheri za JF ziwaruhusu wanajamvi kutumia maneno ya kiswahili nje ya kamausi halali inayotambulika na baraza la kiswahili Tanzania...
 
Voda vibaka sana. Jiunge na hiyo CHEKA BOMBSTIC YAO uone moto wao. Sekunde tu, hela kushnei.nwezi sananhaw jamaa. Itabidi tumuombe makamba awaundie tume. Hawajakaa vizuri abadani.
 
Mimi line ya voda nlisha itupa sasa airtel nsha fika na kifurushi cha 1999 kwa wiki. Kweli airtel dingi lao.
 
KARIBU SANA @TSH 999/= U get 40 min to all netwek, 1000 msgs na 300MB MUNGU AKUPE NINI, WAKATI WALE WASE NGE A@600 inapata dk 15 za vodacom tu na sekunde 52 to other netwek plus 100MB huu si ushenz huuu
 
Duuh! Ila Najua tutafika tu..
 
Wanafaa kupigwa chini maana wanataka kuleta yale yale ya kukaa na simu ya kila mtandao!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mkuu hii ngumu maana kuna wale jamaa sijui wanitwa maporosoooo au maprosoooo au....aaagh
 
...aaah! aaah! aaah!...mod tunaomba mwongozo wako,hili neno "Wangese" ni jipya na sidhani kama sheri za JF ziwaruhusu wanajamvi kutumia maneno ya kiswahili nje ya kamausi halali inayotambulika na baraza la kiswahili Tanzania...

Usiliwaze, litakuumiza kichwa. Lugha Unajua, mod Lipo ukurasa wa ngapi wa kamusi
 
Au ndo mwenyewe!
Wewe kivyako ama ni mgeni sana hapa JF au hutembelei majukwaa mengi mara kwa mara. SHIEKA, aliyejiunga JF Desemba2011 kwa kutumia username ya HYGEIA hawezi akawa ni Jackson Mmbando wa Airtel! Sema jingine.
 
Last edited by a moderator:
hii kitu ya msg inakera unaweza poteza dili ya maana
Na ukipiga mara network fail, mara not reachable, mara haiiti unashangaa imekata kimyakimya... modem zao nazo ndo usiseme sasahiv...
 
Back
Top Bottom