Asante TANAPA hatimae umeniona

Asante TANAPA hatimae umeniona

cha1509

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
258
Reaction score
403
Septemba mwaka jana tanapa walitoa nafasi za park rangers,
Januari 28-6Februari mwaka huu mkaita watu kwa ajili ya usaili wa awali,
Lkn tokea hapo kimya kimekuwa kirefu, kuna nini?
Au nafasi zishajazwa watanzania wasubirie kuona wanawapa waliobahatika?
Utafikiri usaili wenu ni wa TISS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kudubiria tu. Ila tanapa atleast wangekuwa wanatoa list ya majia ambao wako selected.
Mtu ajue ameitwa au lah.
Laki. Hii kukausha.. ni mwanya wa urasimu. Maana wanaweza ita watu wao wakawapachika bila mtu kuhoji.
Ivi na izi nafasi za NgoroNgoro cjui itakuwaje nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kudubiria tu. Ila tanapa atleast wangekuwa wanatoa list ya majia ambao wako selected.
Mtu ajue ameitwa au lah.
Laki. Hii kukausha.. ni mwanya wa urasimu. Maana wanaweza ita watu wao wakawapachika bila mtu kuhoji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni bora hizi taasisi zote ajira zao zipitie Utumishi,kidogo urasimu utapungua
 
Nilivyoona heading nikajua mwenzetu umeshaula huko porin kumbe bdo unalialia bt omba mungu sna maana kupata huko ni zaidi ya kipaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom