Asante sana Shamsa Ford, UKAWA tusonge mbele

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Unajitambuaaa
 
Attachments

  • 1440130826162.jpg
    1440130826162.jpg
    55.3 KB · Views: 3,253
Anajithamini yeye na vizazi vijacho ndomaana amechagua kilicho bora
 
Big up Shamsa kijana anaejielewa lazima atakua upande uliopo, tushirikiane kuleta mabadiliko kwenye taifa letu
 
kinachonifurahisha ni kwamba tunaowaamini na kuwapa madaraka mpaka watoke upande wa pili miaka yote hii kumbe tulikuwa bado hatuna viongozi, daaaa! very sad. Am just kidding team Lowasa msinishambulie sana.
 
UKAWA ni wabinafsi sana, ukitaka wakupende fanya kitu wanachotaka kukisikia/kukiona, ukitofautiana nao tu kosa. Sioni tofauti Kati ya alichofanya Shamsa na Diamond but reaction zimekuwa tofauti
 
Hao wanaotukana na kuchukia Diamond eti kisa anamshabikia Magufuri ndio hawajielewi wala kujitambua kabisaaa!!na hawana uhakika na chaguo lao la upinzani.

Miaka 38 ndani ya CCM na nyadhifa kibao ameshika!na wiki nne ndani ya Chadema ndio zinamfanya mtu awe msafi na aonekane ana uchungu saaana na watanzania leo hii??

Unafiki ulinishinda kabisaa na niko Original!Siwezi kuchukia mtu eti kisa anampenda Magufuri wakati J.Pombe niCCM A na Ngoyai ni CCM B,unafiki tupu
 
Ukweli mtupu, waje basi na huku waseme jinsi Shamsa atavyoshuka kisanaa kwa kushabikia Ukawa.

Watu wana double standard hatari
 
  • Thanks
Reactions: nao
Sasa miaka 50 toka uhuru hv kweli ccm watatuambia kitu gn kipya kabisa ili wananchi tuwaelewe na watakifanya ndan ya miaka 5
 
Ww pia ni mpumbafu sana ndugu yangu. Wenzake wanapiga pesa kwenye hizo kampeni za ukawa na ccm.
 
Hao wanaotukana na kuchukia Diamond eti kisa anamshabikia Magufuri ndio hawajielewi wala kujitambua kabisaaa!!na hawana uhakika na chaguo lao la upinzani.

Miaka 38 ndani ya CCM na nyadhifa kibao ameshika!na wiki nne ndani ya Chadema ndio zinamfanya mtu awe msafi na aonekane ana uchungu saaana na watanzania leo hii??

Unafiki ulinishinda kabisaa na niko Original!Siwezi kuchukia mtu eti kisa anampenda Magufuri wakati J.Pombe niCCM A na Ngoyai ni CCM B,unafiki tupu

tatizo la ccm ni mfumo wao hata uwe mchapa kazi watakubadilisha uwe jambazi na ww
 
ccm hata umlete sheh au padre watambadilisha awe jambazi kuu sio kwamba hamna viongozi wazuri wapo ila mfumo #r .i.p.amina chifupa
 
hakuna kinachofurahisha juu ya ccm,angalia hali za wafanyakazi wa uma.mashule,vituo vya polisi nk.hakuna kinachofurahisha.ndiyo maana ukishangilia ccm unaonekana km vile punguani.nchi za wenzentu serikal zinabadilika mara kwa mara ndiyo maana maendeleo yanaonekana pia
 
Shamsa Ford, Jackline Wolper, Ray Kigosi, Aunt Ezekiel. ..
Nawapenda sana, nilikuwa nawaponda ila kwa hili nimewakubali sana.
#PamojaTutashinda
 
Back
Top Bottom