sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,454 Aug 17, 2012 #101 Afu hii tabia ya kutaja taja wenzio kila saa ndio itasababisha mie nijitoe jf!Hongera sana mwaya!
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,902 Reaction score 9,323 Aug 17, 2012 #102 Preta said: waume zangu wote humu naona umewataja....mke wao umenisahau.....hivi wantakani weye...... Click to expand... Sema mimi Preta na mume wangu KakaKiiza tumesahauliwa!! Erickb52 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Preta said: waume zangu wote humu naona umewataja....mke wao umenisahau.....hivi wantakani weye...... Click to expand... Sema mimi Preta na mume wangu KakaKiiza tumesahauliwa!! Erickb52
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,902 Reaction score 9,323 Aug 17, 2012 #103 Roulette said: Ndio ujue kuna kitu kinaendelea. Kwanini awataje akuache? maybe anaenda kuwaunganishia kwa kina @erotika. Stuka, chukua hatua! Click to expand... Jamani madame Roulette wakulaumiwa ni mimi niliyesema mimi na Preta tusiwekwe kwenye bango ila namlaumu kwakusema waumezake nimeshindwa kujizuia hapa ninakimbo ya mchozi!!kanikwaza sana!!Nakuomba Madame umwambie abadili tabia!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Roulette said: Ndio ujue kuna kitu kinaendelea. Kwanini awataje akuache? maybe anaenda kuwaunganishia kwa kina @erotika. Stuka, chukua hatua! Click to expand... Jamani madame Roulette wakulaumiwa ni mimi niliyesema mimi na Preta tusiwekwe kwenye bango ila namlaumu kwakusema waumezake nimeshindwa kujizuia hapa ninakimbo ya mchozi!!kanikwaza sana!!Nakuomba Madame umwambie abadili tabia!!
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Aug 22, 2012 #104 kaka yangu Erickb52 nipo ndugu yangu, ila tutawasiliana kwa simu...... how are you lakini? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Aug 23, 2012 #105 Asante sana kwa salam shem wangu wa ukwee Erickb52 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Aug 29, 2012 #106 Cantalisia said: Asante sana kwa salam shem wangu wa ukwee Erickb52 Click to expand... dah kwani mie simo kwenye list ya wa ukwe'e?
Cantalisia said: Asante sana kwa salam shem wangu wa ukwee Erickb52 Click to expand... dah kwani mie simo kwenye list ya wa ukwe'e?