kibwengomfupi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 675
- 677
Uhamiaji ni tawi la chama .
Uhamiaji na BAKWATA ni matawi ya CCM. Ovyooooooooooooooooooooooooooo.
Uhamiaji ni tawi la chama .
Nae anaingia hapo.... Teh teh teh tehUmemsahu mwigulu
Nayaona kama shekh wangu ponds huyo wa wanyonge yupo wapi wanyonge ndio wakina nondo tunakuomba utokee au niwanyonge wachama chako tu wengine niwakimbizi sipendi naninachukia uonezi hasira zangu utazikuta kwa mwenyezi mungu najuwa ipo siku utakufa huko tuendako hutokuwa naulizi utakuwa peke yako tends mema ukatetewe na malaika shetani sio mtetezi sana atakucheka tuYote hayo hayaondoi haki ya Uhamiaji kuuliza uraia wa mtu yeyote wakati wowote, ni wajibu wao ambao wamepewa kisheria.

Hata mimi ukiniambia nidhibitishe uraia wa Babu yangu it’s impossible? Hata Jiwe akiambiwa adhibitishe uraia wa Baba yake hawezi. Tanzania is fully now a fallen state. Ukuta wa Mererani fedha ni Bunge gani lililopitisha hiyo gharama na upembuzi yakinifu ulifanyika lini? Nondo usijali hata Jenerali Ulimwengu aliwahi kuibiwa vyeti vyake vyote na watu kutoka Usalama wa Taifa, hata Katibu Mkuu wa CCM aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani uraia wake uliwahi kuhojiwa na ikapita wewe sio wa kwanza!
Lakini si kwa uinevu huu inaoufanya serikaki hii ya awamu ya 5 ambao hata mtoto anayesoma chekechea atakuwa anauona!Yote hayo hayaondoi haki ya Uhamiaji kuuliza uraia wa mtu yeyote wakati wowote, ni wajibu wao ambao wamepewa kisheria.
Wewe mwenyewe tukichukua DNA zako za maternal tunaweza kuta wewe ni mtu wa hata siyo Rwanda au Kenya bali SouthAfrica. Tanzania hakuna mtu indigenous zaidi ya watindiga, wahadzande. Wengine wote ni wahamihaji. Inategemea lini na haijalishi sababu Migration ni kitu kipo kwenye damu ya binadamu na wanyama. Wakitaka kufanya hivyo waanzie kwa wanyama wanaoenda kenya kila msimu wa ukame na kurudi wakati wa masika. Hivi ndivyo kwa binadamu.Yote hayo hayaondoi haki ya Uhamiaji kuuliza uraia wa mtu yeyote wakati wowote, ni wajibu wao ambao wamepewa kisheria.
cc: Mkapa, cha Pombe na wengine.Ukiona MTU anatilia walakini makosa kwa wengine ujue yeye ndio anatenda hayo makosa.Mfano :Ukiona mwanandoa anahofia huenda mwenza wake anachepuka ujue yeye mchepukaji mzuri.Ukiona MTU anapenda kuhoji uraia wa wengine ujue yeye huenda sio..................!!!
Nani kakudanganya?
2Pac amefufuka!!!!!Wewe
nyani wa kijani!Wewe Kima ndio unaleta ushabiki.
Huyo hajui kuwa hata hayo maigizo ni matokeo ya kuingiliwa kwa hiyo Idara ya UhamiajiKuingiliwa tena, kwaiyo waliopo kwny hiyo idara ni malaika hawakosei? Acha kuwa primitive