Baada ya kuweka wasio raia jumba jeupe sasa kila mmoja anahisiwa!! subiri hadi nchi iwe mapande mapande wewe shabikia kima tu!!si kwa hilo toto tundu lilolotaka kufanya ujinga na masikhara katika nchini,eti ni msomi wa chuo kikuu UDSM,hivi kweli UDSM imekuwa mbovu kiasi hiki hata kupelekea kudahili vituko kama huyo dogo anayepambwa na watu wale?
Mwambieni nondo afuate maelekezo acheni kumjaza ujinga wa mitandaoni
Suala la uraia sio la kubeza,kuna watu walikua marais lakini walipokwa uraia,hapa nchini balozi Bandora kama sijakosea alipokwa uraia itakua Nondo?
La muhimu awasilishe nyaraka zake awe cleared aendelee na maisha yake
Wenye uraia usio na shaka hapa Tz wapo sana sana watatu Mkulu, Hpolepole, Bashite
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
Hata Nape aliwahi kuongea kama wewe..Inawezekana Ni mamruki Huyo!! Acha wafanye uchunguzi wao idara zote tunaziamini
Wamempaisha sana anaweza akagombea hata ubunge,hao wanaomtaka vyeti ingekuwa vyema waanze wao kuvionyesha kama hawatazikimbia ofisi zaoMwigulu Nchemba umempa bonge la publicity huyu dogo kwa kudhani unamkomoa
Tuache Idara ya uhamiaji ifanye kazi zake bila kuingiliwa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wenye uraia usio na shaka hapa Tz wapo sana sana watatu Mkulu, Hpolepole, Bashite
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
Yote hayo hayaondoi haki ya Uhamiaji kuuliza uraia wa mtu yeyote wakati wowote, ni wajibu wao ambao wamepewa kisheria.
mi nadhani wangeishia kwenye cheti cha kuzaliwa...kitambulisho cha uraia hivyo babu sijui bibi havimualalishii MTU uraia mana babu anaweza akawa RAIA nchi nyingine mjukuu akawa RAIA kwingine dhumuni ni kumkomoa nasi utaratibu kama sheria ilivyoainishaYote hayo hayaondoi haki ya Uhamiaji kuuliza uraia wa mtu yeyote wakati wowote, ni wajibu wao ambao wamepewa kisheria.
yule Jamaa mbona anaonekana kabisa kuwa ni hamnazoAlikataa kumfanyia kampeni kwa kujua itakuwa ni balaa kwa nchi lakini akabembelezwa na Mkapa, Kikwete na Mama Maria Nyerere.
Mama Janeth Magufuli agoma kukampeni, acharuka
sio wa babu yake tu "" maana pale alipo yeye Mwenyewe ni babu"" kazaliwa kabla ya Uhuru wa nchi "" so uraia wake lazima uwe ni wa mashaka""Hata mimi ukiniambia nidhibitishe uraia wa Babu yangu it’s impossible? Hata Jiwe akiambiwa adhibitishe uraia wa Baba yake hawezi. Tanzania is fully now a fallen state. Ukuta wa Mererani fedha ni Bunge gani lililopitisha hiyo gharama na upembuzi yakinifu ulifanyika lini? Nondo usijali hata Jenerali Ulimwengu aliwahi kuibiwa vyeti vyake vyote na watu kutoka Usalama wa Taifa, hata Katibu Mkuu wa CCM aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani uraia wake uliwahi kuhojiwa na ikapita wewe sio wa kwanza!
Wewe uraia wako tunauamini vp, acha polojoInawezekana Ni mamruki Huyo!! Acha wafanye uchunguzi wao idara zote tunaziamini
wao hawaoni kama ni aibu ndio maana wakaagiza mamlaka zao zifnye hvyo ...wanaakili ndogo sana " zilizokosa upeo wakuona mbali hawajui kuwa wanazivunjia sifa taasisi zao na zinakosa uaminifu "" kwa wananchi wanaojitambua ""wageni " mpaka mashirika ya kigeni"" taasisi zao zinaonekana kuwa sio watendaji kazi Bali ni wafaidi kodi tu za wananchi ...kama usemavyo"" UDSM nao walipaswa kuwa na kesi ya kujibu""Kwanza ilibidi uongozi wote unaojihusisha na elimu uwajibishwe kwakumpokea mwanafunzi ambaye hana viambatanisho muhimu.Kinyume cha hapo pazia iliyotumika kujificha imepasuka.Aibu kubwa hii.
si wajua sisiemu walivyo, mpaka liwakute ndio wajute....Kwi kwi kwi kwi LoL! Single D will do Mkuu. Janga kubwa la Taifa huyu. Wangemsikiliza mkewe hili balaa tusingekuwa nalo Nchini.
Kivipi mkuu?Huyu kijana achunguzwe sana na ikiwezekana aswekwe lupango tu kwa sababu anarudisha nyuma maendeleo ya viwanda Tz