Asante sana Mr. Abdul Nondo kwa kuleta maajabu ya aina yake

Hata mimi ukiniambia nidhibitishe uraia wa Babu yangu it’s impossible? Hata Jiwe akiambiwa adhibitishe uraia wa Baba yake hawezi. Tanzania is fully now a fallen state. Ukuta wa Mererani fedha ni Bunge gani lililopitisha hiyo gharama na upembuzi yakinifu ulifanyika lini? Nondo usijali hata Jenerali Ulimwengu aliwahi kuibiwa vyeti vyake vyote na watu kutoka Usalama wa Taifa, hata Katibu Mkuu wa CCM aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani uraia wake uliwahi kuhojiwa na ikapita wewe sio wa kwanza!
 
Cha kujiuliza je hii kesi ni ya kwanza hapa nchini wacha uhamiaji ifanye kazi kama yupo full amwage vyeti!
 
1. Mwanafunzi wa chuo kikuu ambaye amejiunga kwa kufuata hatua zote, maombi yake kujiunga chuo yamepita idara kadhaa za serikali leo Uraia wake una utata. Hii inaitwa HUJAFA HUJAUMBIKA

2. Mr Nondo kabla ya sakata la kutekwa sorry kujiteka alikuwa chuo anasoma vizuri , anasafiri kwenda sehemu kadhaa nchini, anafanya shughuli za kiraia nchini huku akipishana na Mamlaka husika. Hii inaitwa NIGUSE BAHATI MBAYA NIKULIPUE MAKUSUDI.

3. Mr Nondo anapaswa kupeleka uhamiaji documents ambazo hata viongozi wakubwa wakiambiwa wapeleke kukiri uraia wao hawana . Hii inaitwa BINADAMU WOTE NI SAWA LAKINI WENGINE NI MUHIMU ZAIDI.

4. Taarifa zinaonesha babu yake Abdu Nondo yaani mzee Nondo alikuwa sehemu ya waasisi wa TANU lakini mjukuu uraia wake una mashaka unapaswa kuthibitiwa. Hii inaita MBWA ANAWEZA KUZAA PAKA.

5. Mr Nondo alikuwa mtu wa kawaida sana alifahamika kwa watu wachache mno kiasi angepuuzwa kwa kujiteka kwake leo habari zake ingekuwa historia tu sasa kila sehemu Nondo Nondo Nondo . Hii inaitwa HASIRA FAIDISHI.

6. Kwa kawaida chuo kikuu kuna wanafunzi wa kigeni ( Sio Raia watanzania) na wanafunzi wazawa ( Raia wa Tanzania ) Mr Nondo akiwa na uraia wenye utata amekuwa mnufaika wa mahitaji ya wanafunzi wazawa chuo kikuu mpaka alipojiteka. Hii inaitwa USINGIZI MZITO KWA UTAWALA WA CHUO.

7. Mr Nondo ni mtu maarufu sasa kuna watu wengi mno wenye kupaza sauti kisa Nondo ,wapo wanasiasa maarufu wa kusema kwa niaba ya Nondo, vipi Mr Nondo mwanakijiji ambaye yupo kule kigoma ndani kabisa ambaye hata kiswahili hawezi vyema. Hii inaitwa MACHOZI YA SAMAKI MAJINI.

8. Mpaka sasa kila mtanzania mwenye uwezo wa kupata habari amejuzwa uraia wa Mr Nondo una madoa unapaswa kuthibitishwa kwa documents. Vipi ikitokea documents na ushahidi mwingine kuonesha ni mtanzania hili doa atafutwa. Hii inaitwa MKUBWA HAKOSEI.

9. Kwa kuwa utata wa Uraia wa Mr Nondo unagusa idara nyingi chuo kikuu anaposoma kama mzawa, usajili alipopata cheti cha kuzaliwa kama mzawa ( chuo huwezi kujiunga bila birth certificate), shule alisoma primary, o level na a level ( kama alisoma Tanzania) na idara nyingi vipi mpaka sasa wamechukuliwa hatua. Hii inaitwa UTATA UTATANI.

10. Kama ulishangazwa na Uraia wa Jenerali Ulimwengu miaka ile , ukashtushwa na Uraia wa Hussein Bashe mwaka 2010 , unahuzunishwa na Uraia wa Mr Nondo subiri zamu yako itafika.

Katika vitu ambavyo vinaweza kuondoa umoja wetu ni kubaguana kwa namna yeyote, Tanzania ya mzee wetu Mwl Nyerere ni moja yenye kuheshimu kila mtu hata akiwa mkosefu kiasi gani bado utanzania inakuwa haki yake .

Pamoja na changamoto tulizonazo mioyo ya watanzania bado ina matumaini kwa gharama yeyote tunapaswa kulinda matumaini ya watanzania maana ndiyo umoja wetu ,upendo wetu ,ukarimu wetu na uvumilivu wetu .

Tanzania, Tanzania , Tanzania nakupenda nchi yangu , nakupenda kwa moyo wangu wote .

Copy and Paste from LAMU ELIZAYO PASCAL KILIMBA
lamuelizayo@gmail.com
+255766033331
Kuna moja nzuri tu umeiruka kuiandika kwa makusudi ambayo ungemalizia hivi.... NYANI HAONI KUNDULE...
 
si kwa hilo toto tundu lilolotaka kufanya ujinga na masikhara katika nchini,eti ni msomi wa chuo kikuu UDSM,hivi kweli UDSM imekuwa mbovu kiasi hiki hata kupelekea kudahili vituko kama huyo dogo anayepambwa na watu wale?
 
Hii kitu haihitaji PhD kuielewa.Maana PhD zenyewe ndizo zinaongoza kwa upumbavu,bali hapa inahitajika IQ kidogo tu kuelewa ukweli.Chunguza watu wooote walioambiwa kuwa siyo raia,je waliambiwa wakati gani?au baada ya kufanya nini?Hapo utapata jibu kwa asilimia miamoja.
 
Mwambieni nondo afuate maelekezo acheni kumjaza ujinga wa mitandaoni
Suala la uraia sio la kubeza,kuna watu walikua marais lakini walipokwa uraia,hapa nchini balozi Bandora kama sijakosea alipokwa uraia itakua Nondo?
La muhimu awasilishe nyaraka zake awe cleared aendelee na maisha yake
 
Hivi huyu kijana Nondo, kwenye hiyo familia yuko peke yake au wapo wengi ....!!?

Kwa nini anakuwa singled out!? Kwa nini familia yote wasiambiwe wapeleke hizo documentation kuthibitisha uraia wao.
Kwanza ilibidi uongozi wote unaojihusisha na elimu uwajibishwe kwakumpokea mwanafunzi ambaye hana viambatanisho muhimu.Kinyume cha hapo pazia iliyotumika kujificha imepasuka.Aibu kubwa hii.
 
Na akifaulu kuhusu suala la uraia wake ajiandae kudisko chuoni...atashaa!!!.
 
Yote hayo hayaondoi haki ya Uhamiaji kuuliza uraia wa mtu yeyote wakati wowote, ni wajibu wao ambao wamepewa kisheria.
Ila vyeti vya kuzaliwa vya bibi na babu yake nondo kuvihitaji ni ufala na ulofa. Hata huyo Mkuu wa nchi hana hvyo vyeti vya Babu na Bibi yake
 
si kwa hilo toto tundu lilolotaka kufanya ujinga na masikhara katika nchini,eti ni msomi wa chuo kikuu UDSM,hivi kweli UDSM imekuwa mbovu kiasi hiki hata kupelekea kudahili vituko kama huyo dogo anayepambwa na watu wale?
Mahakama pekee ndo yenye Uwezo wa kuhukumu na sio ww pamoja na vinyango wengine wakina mwigulu na mambosasa
 
1.Kwani kabla ya sakata hili, Mr Nondo alipata mkopo chuoni kama mgeni au mzawa?

2. Kipindi kile cha yule waziri aliyetangaza ili ufunge ndoa lazima uwe na cheti cha kuzaliwa, kuna waziri alisema hata yeye hana cheti cha kuzaliwa!

Naipenda nchi yangu Tz
 
Cheti cha kuzaliwa cha bibi yako kizaa baba yako unacho
Kwel huu ni uoneaji kabsa hata wao iyo idara waliambiwa wapeleke ivyo vyet vya kuzaliwa vya babu zao hawawez,,hata RAIA no.moja tz nna hakika hawez pata ...
 
1. Mwanafunzi wa chuo kikuu ambaye amejiunga kwa kufuata hatua zote, maombi yake kujiunga chuo yamepita idara kadhaa za serikali leo Uraia wake una utata. Hii inaitwa HUJAFA HUJAUMBIKA

2. Mr Nondo kabla ya sakata la kutekwa sorry kujiteka alikuwa chuo anasoma vizuri , anasafiri kwenda sehemu kadhaa nchini, anafanya shughuli za kiraia nchini huku akipishana na Mamlaka husika. Hii inaitwa NIGUSE BAHATI MBAYA NIKULIPUE MAKUSUDI.

3. Mr Nondo anapaswa kupeleka uhamiaji documents ambazo hata viongozi wakubwa wakiambiwa wapeleke kukiri uraia wao hawana . Hii inaitwa BINADAMU WOTE NI SAWA LAKINI WENGINE NI MUHIMU ZAIDI.

4. Taarifa zinaonesha babu yake Abdu Nondo yaani mzee Nondo alikuwa sehemu ya waasisi wa TANU lakini mjukuu uraia wake una mashaka unapaswa kuthibitiwa. Hii inaita MBWA ANAWEZA KUZAA PAKA.

5. Mr Nondo alikuwa mtu wa kawaida sana alifahamika kwa watu wachache mno kiasi angepuuzwa kwa kujiteka kwake leo habari zake ingekuwa historia tu sasa kila sehemu Nondo Nondo Nondo . Hii inaitwa HASIRA FAIDISHI.

6. Kwa kawaida chuo kikuu kuna wanafunzi wa kigeni ( Sio Raia watanzania) na wanafunzi wazawa ( Raia wa Tanzania ) Mr Nondo akiwa na uraia wenye utata amekuwa mnufaika wa mahitaji ya wanafunzi wazawa chuo kikuu mpaka alipojiteka. Hii inaitwa USINGIZI MZITO KWA UTAWALA WA CHUO.

7. Mr Nondo ni mtu maarufu sasa kuna watu wengi mno wenye kupaza sauti kisa Nondo ,wapo wanasiasa maarufu wa kusema kwa niaba ya Nondo, vipi Mr Nondo mwanakijiji ambaye yupo kule kigoma ndani kabisa ambaye hata kiswahili hawezi vyema. Hii inaitwa MACHOZI YA SAMAKI MAJINI.

8. Mpaka sasa kila mtanzania mwenye uwezo wa kupata habari amejuzwa uraia wa Mr Nondo una madoa unapaswa kuthibitishwa kwa documents. Vipi ikitokea documents na ushahidi mwingine kuonesha ni mtanzania hili doa atafutwa. Hii inaitwa MKUBWA HAKOSEI.

9. Kwa kuwa utata wa Uraia wa Mr Nondo unagusa idara nyingi chuo kikuu anaposoma kama mzawa, usajili alipopata cheti cha kuzaliwa kama mzawa ( chuo huwezi kujiunga bila birth certificate), shule alisoma primary, o level na a level ( kama alisoma Tanzania) na idara nyingi vipi mpaka sasa wamechukuliwa hatua. Hii inaitwa UTATA UTATANI.

10. Kama ulishangazwa na Uraia wa Jenerali Ulimwengu miaka ile , ukashtushwa na Uraia wa Hussein Bashe mwaka 2010 , unahuzunishwa na Uraia wa Mr Nondo subiri zamu yako itafika.

Katika vitu ambavyo vinaweza kuondoa umoja wetu ni kubaguana kwa namna yeyote, Tanzania ya mzee wetu Mwl Nyerere ni moja yenye kuheshimu kila mtu hata akiwa mkosefu kiasi gani bado utanzania inakuwa haki yake .

Pamoja na changamoto tulizonazo mioyo ya watanzania bado ina matumaini kwa gharama yeyote tunapaswa kulinda matumaini ya watanzania maana ndiyo umoja wetu ,upendo wetu ,ukarimu wetu na uvumilivu wetu .

Tanzania, Tanzania , Tanzania nakupenda nchi yangu , nakupenda kwa moyo wangu wote .

Copy and Paste from LAMU ELIZAYO PASCAL KILIMBA
lamuelizayo@gmail.com
+255766033331
hii ni serikali ya shetani kabisa,sasa kuweka namba za simu ni kujitakia kifo.
 
Yote hayo hayaondoi haki ya Uhamiaji kuuliza uraia wa mtu yeyote wakati wowote, ni wajibu wao ambao wamepewa kisheria.
Mwanasheria uchwara..
Siku zinavyosonga ndio na ujinga wako unavyozidi kusonga mbele.
 
Ila vyeti vya kuzaliwa vya bibi na babu yake nondo kuvihitaji ni ufala na ulofa. Hata huyo Mkuu wa nchi hana hvyo vyeti vya Babu na Bibi yake
Mm nilitegemea uhamiaji waende kigoma wakafanye uchunguz kimya kimya labda wakianzia kweny makaburi ya huyo babu yake ,na pengne waulize wazeee wa huko kigoma kuusu historia ya babu nondo ,sasa kwa Kwel kuomba birth certificate ya babu na Bibi tena wa vijijin..... Au ndo elimu yetu ndo finyu? Au ni hila maana hata mawili naisi kuna moja wapo!!! Elimu wanayopewa uhamiaji au hila!!!!
 
Back
Top Bottom