Vyerehani 4 = kiwandaMpango Huyo Na Serikali Ya Viwanda
Poleni sanaHuku kwetu tuna petrol stations 3 wilaya nzima, sasa wakifunga zote sijui life litakuwaje maana shughuli kibao zitazimama, gladly nilijaza full tank
Post sent using JamiiForums mobile app
Huku kwetu tuna petrol stations 3 wilaya nzima, sasa wakifunga zote sijui life litakuwaje maana shughuli kibao zitazimama, gladly nilijaza full tank
Post sent using JamiiForums mobile app
alicho fanya nikuwamulika viongozi kuwa wamekurupuka ama hawakujipanga. KWA WAO WALIONA HIYO NDIO NJIA (masudi kaona ni mkurupuko) sasa atoe suluhisho ni njia ipi nzuri zaidi ya hiyo?Kwani wewe hapo umeelewaje hiyo picha?
In God we trust
Kila nafsi lazima itaisoma nambaHuku kwetu tuna petrol stations 3 wilaya nzima, sasa wakifunga zote sijui life litakuwaje maana shughuli kibao zitazimama, gladly nilijaza full tank
Post sent using JamiiForums mobile app
Vyerehani 4 = kiwanda
Poa mkuuhahahahhha asante kunimalizia siku yangu mubashara nachekaga sana na hii hekima ya vyerehan 4
Na team yakeShukrani zimwendee Mwijage
In God we trust
Kila nafsi lazima itaisoma namba
In God we trust
Ngosha....Msanii wa katuni maarufu kama Kipanya leo amechora katuni inayotoa fundisho mujarabu kwa anayehitaji kujifunza![]()
In God we trust
Nani kakwambia kuwa wapo tayari kupokea ushauri?alicho fanya nikuwamulika viongozi kuwa wamekurupuka ama hawakujipanga. KWA WAO WALIONA HIYO NDIO NJIA (masudi kaona ni mkurupuko) sasa atoe suluhisho ni njia ipi nzuri zaidi ya hiyo?
Na wewe nani kakwambia hawapo tayari kupokea ushauri? Una uhakika kila kinachoshauriwa hakifanyiwi kazi?Nani kakwambia kuwa wapo tayari kupokea ushauri?
In God we trust
Wazungu wanatushangaa sana kwa maamuzi yetu. Nchi zingine wanaweza kufanya ikiwa km kuna vituo vingi vya mafuta.Nauli ya mabasi itapanda,gharama za usafirishaji bidhaa zitapanda na uzalishaji utashuka na wafanyakazi watashindwa kufika kazini kwa muda hapo ndio tutaongeza mapato
In God we trust
bas powaNani kakwambia kuwa wapo tayari kupokea ushauri?
In God we trust