Asante sana Kipanya kwa ujumbe tosha

Asante sana Kipanya kwa ujumbe tosha

Wazungu wanatushangaa sana kwa maamuzi yetu. Nchi zingine wanaweza kufanya ikiwa km kuna vituo vingi vya mafuta.
Hapo serikali inamkomoa nani? Fikiria hawa wote wafunge vituo wakakae nyumbani. Hiv hali itakuwaje?
Hawa wamitaani wao wapige dili tu sasa ndiyo wakati wao huo
Yap hapo tutegemee makusanyo ya kodi kwa mwezi kuporomoka kama papai toka juu ya mpapai

In God we trust
 
tapatalk_1489740281952.jpeg
 
alicho fanya nikuwamulika viongozi kuwa wamekurupuka ama hawakujipanga. KWA WAO WALIONA HIYO NDIO NJIA (masudi kaona ni mkurupuko) sasa atoe suluhisho ni njia ipi nzuri zaidi ya hiyo?
Njia nzuri ni hii hata huhitaji kuwa na PhD feki kuitambua Waweke faini kubwa ndivyo nchi zilizoendelea zinavyofanya kwa faini INA maana utaongeza pato LA serikali na watafunga bila shuruti kama hawataki watauza sheri zao na tutaingiza hela uchumi ni akili tu uongozi ni mbinu sio power.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hapo umeongea mkuu tusikosoe tuuu bila kuonesha njia
 
apendekeze pia wangetumia njia gani ili hao wamiliki wa mafuta na vituo vyake watumie hizo mashine
Kuna theory za kipanya ni za kijing.a.....leo hii vituo vingi vimefunguliwa na tayari vina efd ....kodi ya serekali inaungia vyema.....kuliko wangebaki kubembelezana
mkumbusheni masoud waliofanya hayo maamuzi sio wajinga wana akili pana kuliko ubongo wake mwembamba.
 
hapo umeongea mkuu tusikosoe tuuu bila kuonesha njia
Sasa unaongozwaje na asiye na uwezo? Yaani kipofu ndo awe kiongozi wako kweli?

Tunahitaji uongozi wenye tija. Sio kujaribu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] safi sana Kipanya.

Narudia tena, waziri kufungia vituo vya mafuta ni layman solution, vituo husika vilipaswa kutozwa fine kubwa tu ingetosha.

Waziri ameamka asubuhi kwenda kuwaadhibu walaji wa mwisho wa bidhaa husika kwa kosa lililofanywa na mfanyabiashara.
 
Kaoteshwa

In God we trust
 
alicho fanya nikuwamulika viongozi kuwa wamekurupuka ama hawakujipanga. KWA WAO WALIONA HIYO NDIO NJIA (masudi kaona ni mkurupuko) sasa atoe suluhisho ni njia ipi nzuri zaidi ya hiyo?
Haha mkuu yani unataka masud kwenye katuni hiyo akupe solution?

Unajua maana ya kibonzo?
 
Huku kwetu tuna petrol stations 3 wilaya nzima, sasa wakifunga zote sijui life litakuwaje maana shughuli kibao zitazimama, gladly nilijaza full tank

Post sent using JamiiForums mobile app
Huku kwetu zipo tano wamefunga 4 imebaki moja watu wanapanga foleni ya mafuta.
Kale kawimbo wacha waisome namba eeehe kanaimbika kwa sauti zote na kanasikika vizuri kila pande za Tanzania.

Walidhani huo wimbo nikwa wapinzani tu

In God we trust
 
Back
Top Bottom