LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,193
- 14,900
Arusha ni wajinga sanaAsante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki .
Pamoja Sana katika upambanaji wako .
Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako ameshaporwa uafisa na sasa anapiga chaki
Pole Sana jemedali
Yaani mna muacha mkazi wa Arusha mna mchukua wakuja Ambaye hata aasaidia maana mission yake ni uwaziri.
Nawaonea huruma sana watu wa Arusha..